digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Hawajui karma ya kuua lazima aongee yule mwingine anashinda kuombewa tu bila kusema alikosa nini..Upi?
Jini kwa jinoHivi hakunaga msamaha
Yatawatokea huko huko mbele.. Nyambilisi hawaCcm mbele kwa mbele
Hata kama mmetengua uteuzi wake lakini Marco Ng’umbi kasema ukweli mchungu.Hivi hakunaga msamaha
Mpango upi, wa kuwafukuza wasemao UKWELI, na kuwaacha wabubujikwao na machozi ya kusifiasifia uongo?!Ndio mtindo unaofaa kwenda nao!
Hajaropoka kasema kweli tupu
Safi sana. Hata huko CHADEMA huwezi kuropoka ukaachwa tu.
Tatizo ccm haipendi watu waseme ukweli!Alizingua na kauli zake
Na yeye Samia alisema ukweli ndio maana hakuna aliyemfukuza.Aliyemfukuza sio yule alisema hata msipoichagua Sisiemu ni lazima itaunda serikali? Au hapo hakuropoka?
Ila alijua pia what will happen nextHajaropoka kasema kweli tupu
Wako walioandika na vitabu baada yakutoka madarakani.Ukweli nisawa na haja,utavumilia ila huwezi kutulia hadi uitoe.Atatengua wangapi kama kila mmoja atatoka hadharani na kuanza kuuongea ukweli? Ukweli haufichwi kwa kutishia kuwaondoa watu kwenye nafasi alizowapa.