Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi.
Unampa asilimia ngapi Mh. DC wa Pangani kwa tattoo hii
Yaani huyu ni Kamishina!DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi.
Unampa asilimia ngapi Mh. DC wa Pangani kwa tattoo hiiView attachment 2714611
Dc na PUA yake
Huyu ni Kioo Ngozi mkuu.huyu ni kiongozi?
Yule mme wake mtangazaji wa azam aliyemruhusu kuoa mke wa pili anasemaje kwani, ?[emoji16]Tangu ameolewa na waziri angalau anapendeza.
Ñtafute nikuchore ila kabla ya hapo nakupaka wese kwanzaNtafute muuza boxer mmoja anchore SPIDERNYOKA kiunoni
Muhindi😍🤤😃Tangu ameolewa na waziri angalau anapendeza.
UpuuziDC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi.
Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hiiView attachment 2714611
Kumbe na wewe umeona,aisee ana pua kubwa duuDc na PUA yake