DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

Huo ni uumbaji wa Mungu



Nawashangaa wanaokosoa uumbaji wa Mwenyezi Mungu,

Kwa hiyo wanamsuta Mungu?

Mkosoeni kitu kingine lakini alichomuumba Mungu sio Sawa,

Kwani yeye kajiumba mwenyewe?!

Halafu JF Kwani sometimes kuna watu wanakuwaje?’!

Kuna watu hawawezi kupumua kawaida wanaumwa iwapo yeye Pua yake alovyomuumba Mungu inamuwezesha kupumua kawaida mbona pambe tu [emoji108]
 
Back
Top Bottom