DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

ni manipulation za Samia, wape vyeo wake zao na wame zao ili wawe watiifu kupindukia... Mume wa Tulia Ackson kupewa u CEO wa EWURA ni corrupted tactics hizi hizo... Samia akitaka kupiga dili miradi ya Wachina wizara ya Maji au kupitishia ujangili Bungeni hawa watatii tu...
Mbona Mme WA tulià alikuaga Yuko huko huko ewura mda sana ,akaondolewa na mwenda zake akaletwa Dom Sijui cheo Gani,nadhani maza kamrudisha Tena ewura
 
Yes,sasa alimruhusu maana na yeye alikuwa anapelekewa moto na Aweso.Angekuwa hana spea tairi unafikiri angemruhusu.Sasa kwa nini aliomba talaka ili ahalalishe na Aweso?Ruhusa ya kinafki,inshort alikuwa na mbadala.
😲😲😲😲 hivi kumbe mi nkajua aweso ndo mume wake wa kwanza, kumbe yule alomruhusu ni mwanaume mwingine ili apate muda na aweso
 
Back
Top Bottom