DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

Daaah, nimesikitika sana, nilitamani hawa watu wanne wajitetee, ili tujue kilichotokea tangu mwanzo hadi wanafikishwa mahakamani, Jaji Tiganga akimaliza hii gemu ijumaa, atakuwa ametukatili sana wananchi. cc Kamanda Asiyechoka
 
To found ni kuestablish something,haina uhusiano na find.Found past tense yake ni founded.
 
Hujaacha tu kukomenti ukiwa msalani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…