DCI Ramadhani Kingai atachukuliwa hatua Gani kwa kudharau Wito wa Mahakama?

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,682
Reaction score
39,811
Sote tumeona namna shahidi Ramadhani Kingai alivokwepa kusimama kizimbani na kutoa msimamo wake katika ushahidi dhidi ya kesi inayomkabili Tundu Lissu.

Hiki ni kipimo kwa mahakama yetu hapa nchini je Hatua Gani itachukuliwa dhidi ya mtu huyu?
 
Aliyekudanganya kwamba amedharau wito ni nani? HII propaganda ya vilaza haiwezi kuinfluence maamuzi ya majaji..tulieni msubiri hukumu
 
Sasa hata kama hujui kusoma picha huoni? Haya tuambie Kingai alisimama mahakama ipi kutoa hoja zake katika kesi hii ya mchongo inayomkabili Tundu Lissu?
 
Sote tumeona namna shahidi Ramadhani Kingai alivokwepa kusimama kizimbani na kutoa msimamo wake katika ushahidi dhidi ya kesi inayomkabili Tundu Lissu.

Hiki ni kipimo kwa mahakama yetu hapa nchini je Hatua Gani itachukuliwa dhidi ya mtu huyu?
ok. :pedroP:
 
Pamoja na kwamba sikubaliani na huyu msambaa lakini ni Lissu ndiye aliamua kutomtumia baada ya kuongea naye wakati wa kumtayarisha kutoa ushahidi.
Wale wawili wengine waliingia mitini.
 
Zitakuwa fupi sana
1000009198.jpg
 
Pamoja na kwamba sikubaliani na huyu msambaa lakini ni Lissu ndiye aliamua kutomtumia baada ya kuongea naye wakati wa kumtayarisha kutoa ushahidi.
Wale wawili wengine waliingia mitini.
Kwani Kingai aliitwa na lissu au mahakama?
 
Sote tumeona namna shahidi Ramadhani Kingai alivokwepa kusimama kizimbani na kutoa msimamo wake katika ushahidi dhidi ya kesi inayomkabili Tundu Lissu.

Hiki ni kipimo kwa mahakama yetu hapa nchini je Hatua Gani itachukuliwa dhidi ya mtu huyu?
Ebu tuoneshe vifungu vinavyosema ikitokea shahidi akasema hana maelezo ya kutoa ushahidi Sheria inasemaje?
 
Under section 213 of Tanzania's Criminal Procedure Act (Cap. 20, R.E. 2023), a witness who, without sufficient excuse, refuses to be sworn, refuses to answer a question after being sworn, refuses to produce required material, or refuses to sign a deposition can be treated as a refractory witness. The court may adjourn the case for up to eight days and commit the witness to prison in the meantime. If the refusal continues, the court can repeat the process
 
Hiyo nimeikubali. Naomba niulize kwa kutoa mfano. Mimi nimeitwa na mtu niwe shahidi. Na wakati huohuo binafsi najua sina chochote ninachojua cha kujibu kuhusu kesi yako. Bado LAZIMA niende mahakamani kujibu?
 
Mahakama ikitoa summons ni LAZIMA uende. Kutojua chochote kuhusu tukio nao ni ushahidi. Ushahidi siyo kutetea, au kukandamiza mshtakiwa. Ushahidi ni kusema ulichoona/unachojua. Kama hujui kitu unasema sijui. Lakini kuhusu Kingai alijua kabisa Lissu atamburuza na atashindwa. Akisema hajui chochote itaonekana kabisa kuna issue... iweje mtu muhimu kama huyu asijue? Na akisema anajua nako ndiyo maswali yatakuwa magumu. Yaani akitema nchale na akimeza nchale. Kwa nini asile kona?
 
Hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa maana mahakama inafanya kazi kwa maelekezo ya mwenyekiti wa CCM ambaye ni boss wa Kingai na majaji maccm.

Mahakama ingekua na nguvu ingechukua hatua juu ya wale vibaka wanaomzunguka Lissu wamejifunika nyuso maana walitoa amri wasijifunike ile umeona imetekelezwa.?
 
Mahakama ikitoa summons ni LAZIMA uende. Kutojua chochote kuhusu tukio nao ni ushahidi. Ushahidi siyo kutetea, au kukandamiza mshtakiwa. Ushahidi ni kusema ulichoona/unachojua. Kama hujui kitu unasema sijui. Lakini kuhusu Kingai alijua kabisa Lissu atamburuza na atashindwa. Akisema hajui chochote itaonekana kabisa kuna issue... iweje mtu muhimu kama huyu asijue? Na akisema anajua nako ndiyo maswali yatakuwa magumu. Yaani akitema nchale na akimeza nchale. Kwa nini asile kona?
Kingai alienda mahakamani hakwenda?
 
Under section 213 of Tanzania's Criminal Procedure Act (Cap. 20, R.E. 2023), a witness who, without sufficient excuse, refuses to be sworn, refuses to answer a question after being sworn, refuses to produce required material, or refuses to sign a deposition can be treated as a refractory witness. The court may adjourn the case for up to eight days and commit the witness to prison in the meantime. If the refusal continues, the court can repeat the process
1790052971733.png
Huoni hapo kuna mwanya wa without sufficient excuce, kwa maana akiwa na na sufficient excuce hatoi huo ushaidi
 
View attachment 3675465Huoni hapo kuna mwanya wa without sufficient excuce, kwa maana akiwa na na sufficient excuce hatoi huo ushaidi
Yes, excuse inayoeleweka eg medical condition. Lakini Kingai yeye alisema anataka Lisuu akutwe na hatia, Hii ni witness's personal objective ......wanting one side to win the case—is not the same as a legal justification for refusing to give evidence.
 
Sasa hata kama hujui kusoma picha huoni? Haya tuambie Kingai alisimama mahakama ipi kutoa hoja zake katika kesi hii ya mchongo inayomkabili Tundu Lissu?
Kwani Kingai si alikua shahidi wa Lissu? Kumbuka Kingai alikua shahidi wa Lissu nasio mshtakiwa na mahakama ilimuita kwa niaba ya Lissu . Ebu tue tunasoma na kuelewa
 
Sote tumeona namna shahidi Ramadhani Kingai alivokwepa kusimama kizimbani na kutoa msimamo wake katika ushahidi dhidi ya kesi inayomkabili Tundu Lissu.

Hiki ni kipimo kwa mahakama yetu hapa nchini je Hatua Gani itachukuliwa dhidi ya mtu huyu?
Kama kashatoa rambirambi huko ng'ambo hamna anachoweza kufanywa. Ila madereka chapu tu alikamatwa
 
Kwani Kingai si alikua shahidi wa Lissu? Kumbuka Kingai alikua shahidi wa Lissu nasio mshtakiwa na mahakama ilimuita kwa niaba ya Lissu . Ebu tue tunasoma na kuelewa
Shahidi huitwa na mahakama kwa kupelekewa summons.
 
Mwambie Kingai nimkute central mapema sana , kwa nini anakaidi wito wa mahakama
 
Back
Top Bottom