DCI Ramadhani Kingai atachukuliwa hatua Gani kwa kudharau Wito wa Mahakama?

Shahidi huitwa na mahakama kwa kupelekewa summons.
Baada ya nani kumuhitaji? Shahidi itakiwa na mtuhumiwa basi mahakama aikua na namna ikatimiza wajibu wake. Shahadi akakutana na mtuhumiwa alietaka amtolee ushahidi ili amwandae..Shahidi akasema yeye ayupo tayari maana mtuhumiwa hamjui
 
Unafahamu kuwa shahidi anaweza kufungwa?
 
Aliyekudanganya kwamba amedharau wito ni nani? HII propaganda ya vilaza haiwezi kuinfluence maamuzi ya majaji..tulieni msubiri hukumu
Hawezi kuchukuliwa hatua yoyote maana yeye ndio kiongozi wa kundi la watu wasiojulikana. Ifahamike yeye ndio archtech wa hii kesi kwa kuagizwa na Samia, na hao majaji ukweli huo wanaujua.
 
Sijamsikia mshitakiwa akilisema hili mahakamani
 
Hiyo nimeikubali. Naomba niulize kwa kutoa mfano. Mimi nimeitwa na mtu niwe shahidi. Na wakati huohuo binafsi najua sina chochote ninachojua cha kujibu kuhusu kesi yako. Bado LAZIMA niende mahakamani kujibu?

Si unaenda kujibu kwamba hufahamu
 
Back
Top Bottom