Baada ya nani kumuhitaji? Shahidi itakiwa na mtuhumiwa basi mahakama aikua na namna ikatimiza wajibu wake. Shahadi akakutana na mtuhumiwa alietaka amtolee ushahidi ili amwandae..Shahidi akasema yeye ayupo tayari maana mtuhumiwa hamjuiShahidi huitwa na mahakama kwa kupelekewa summons.
Unafahamu kuwa shahidi anaweza kufungwa?Baada ya nani kumuhitaji? Shahidi itakiwa na mtuhumiwa basi mahakama aikua na namna ikatimiza wajibu wake. Shahadi akakutana na mtuhumiwa alietaka amtolee ushahidi ili amwandae..Shahidi akasema yeye ayupo tayari maana mtuhumiwa hamjui
Hawezi kuchukuliwa hatua yoyote maana yeye ndio kiongozi wa kundi la watu wasiojulikana. Ifahamike yeye ndio archtech wa hii kesi kwa kuagizwa na Samia, na hao majaji ukweli huo wanaujua.Aliyekudanganya kwamba amedharau wito ni nani? HII propaganda ya vilaza haiwezi kuinfluence maamuzi ya majaji..tulieni msubiri hukumu
Sijamsikia mshitakiwa akilisema hili mahakamaniHawezi kuchukuliwa hatua yoyote maana yeye ndio kiongozi wa kundi la watu wasiojulikana. Ifahamike yeye ndio archtech wa hii kesi kwa kuagizwa na Samia, na hao majaji ukweli huo wanaujua.
Kwamba mshitakiwa anatakiwa aseme kila kitu?Sijamsikia mshitakiwa akilisema hili mahakamani
Shahidi aliyeitwa na mahakama bila shaka..Ata usipoende faini ni sh 5000 au kufungwa siku 15Unafahamu kuwa shahidi anaweza kufungwa?
Hiyo nimeikubali. Naomba niulize kwa kutoa mfano. Mimi nimeitwa na mtu niwe shahidi. Na wakati huohuo binafsi najua sina chochote ninachojua cha kujibu kuhusu kesi yako. Bado LAZIMA niende mahakamani kujibu?
Kama Heche sio? NIMEKUSOMA!Si unaenda kujibu kwamba hufahamu