GE2025 DCP Misime: Askari 3,900 Bara na 388 Zanzibar wamesambazwa kutoa Elimu ya matumizi ya Mitandao

GE2025 DCP Misime: Askari 3,900 Bara na 388 Zanzibar wamesambazwa kutoa Elimu ya matumizi ya Mitandao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Jeshi la Polisi kupitia Msemaji wake DCP David Misime amesema wamesambaza askari zaidi ya 3,900 Tanzania Bara na 388 Zanzibar ili kutoa elimu ya Matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii.

Soma pia > DCP Misime: Serikali imetuwezesha vifaa vya kuwashughulikia wanaohamasisha uhalifu

Amesema wazazi wanapaswa kuwaelimisha vijana wao juu ya matumizi bora ya mitandao na umuhimu wa kuheshimu sheria, akisisitiza kuwa utulivu wa nchi unategemea ushirikiano wa wananchi na vyombo vya usalama.

 
Back
Top Bottom