Kwani tuna uhaba wa siku kiasi lazma tufanye maandamano ya amani siku ya uchaguzi? Amani gani hiyo?Maandamano ya AMANI ninyi ndio mumeyapiga marufuku lakini sio kosa kisheria.
Kama mtu anaruhusiwa kupiga kura na kwenda kuendelea na shughuli zake, siasa pia ni shughuli, katiba inaruhusu labda kama kuna viashiria vya uvunjifu wa AMANI.Kwani tuna uhaba wa siku kiasi lazma tufanye maandamano ya amani siku ya uchaguzi? Amani gani hiyo?
Kwani lengo la hayo maandamano ni nini?Kama mtu anaruhusiwa kupiga kura na kwenda kuendelea na shughuli zake siasa pia ni shughuli katiba inaruhusu labda kama kuna viashiria vya uvunjifu wa AMANI.
Majina yao hawajayawekaAmesema wanaohamasisha maandamano Wana picha zao, na hata siku ya uchaguzi wakienda kupiga kura watawasubiri wamalize kupiga kura kisha wawakamate.
Hakuna hio ilipoandikwa ni njaa tu zinawaumaKuhamasisha maandamano ni kosa??
Kama ni kosa polisi watueleze wapi kwenye PGO pameandikwa wanatakiwa kuhamasisha watu wakapige kura.
Kumbe wamewezeshwa na serikali. Maana yake ni kwamba sa100 analazimisha watu kumkubali hata kama anakoseaMsemaji mkuu wa jeshi la polisi nchini DCP Davidi Misime amesema kuwa Jeshi la polisi litawakamata wote waliohamasisha maandamano hatakama utakuja kupiga kura, miseme amesema utaruhusiwa kupiga kura lakini baada ya kumaliza tukio hilo utachukuliwa na jeshi hilo kwa hatua zaidi.
Amesema wanaohamasisha maandamano Wana picha zao, na hata siku ya uchaguzi wakienda kupiga kura watawasubiri wamalize kupiga kura kisha wawakamate.
My Take
Hapa Jeshi linazingua hii ni hatua mbaya kwa wapiga kura kwasababu Polisi wanatengeneza mazingira ya watu kutokwenda kupiga kura.
Kudai KATIBA BORA MPYA na kupinga UTEKAJI.Kwani lengo la hayo maandamano ni nini?
UhakikaDCP tunayoiheshimu ni ile wanayopewa kuku.
Maandamo yakifanyika siku nyingine zaidi ya hiyo hayo madai yatakuwa yamepita muda wake?Kudai KATIBA BORA MPYA na kupinga UTEKAJI.
Nadhani hilo swali ni la kumuuliza organiser Mange Kimambi.Maandamo yakifanyika siku nyingine zaidi ya hiyo hayo madai yatakuwa yamepita muda wake?