GE2025 DCP Misime: Kama ulihamasisha maandamano hata ukitiki tunakukamata

GE2025 DCP Misime: Kama ulihamasisha maandamano hata ukitiki tunakukamata

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kitendo cha mama ako kumiliki magenge ya majangiri ambayo kazi yao ni kuteka na kuua watanzania ambao ndio wanainchi wake alioapa kuwatumikia na kuwalinda kisa tu wanamkosoa, kinaondoa kabisa hayo mazuri yote uliyotutajia hapa.

Wewe unatujengea shule halafu hapo hapo hapo unatuulia vijana wetu kisa tu wameponda bango la picha yako, sasa hizo shule unazijenga za nini? Akasome nani?

Unajenga hospitali na mabarabara sijui SGR halafu wanainchi hao ambao ndio wakutumia hiyo miundo mbinu, unawateka na kuwapoteza... sasa hiyo miundo mbinu ya nini? Ataitumia nani?

Hivi leo unaweza ukamfuata mzazi wa Polepole au mzazi wa Mdude au mzazi wa Chaula ukamwambia eti samia ni kiongozi mzuri kisa ametekeleza hiyo miradi akakuelewa kweli? Unajua maumivu wanayoskia wazazi wa hao watu? Unajua jinsi wanavyojiskia kila wakiskia sauti ya samia?

Uhai wa binadamu haulinganishwi hata kidogo na hayo ma SGR sijui shule au nyongeza ya mishaara..!!

Halafu unasema eti "mama ni mtu poa sana" like seriously? ana upoa gani huyo shetani kutoka KUZIMU-KAZI asiyekuwa na ubinadamu hata kidogo?

Tanzania haijawahi kuwa na raisi shetani kama samia, samia ni mwanamke shetani kabisa kuwahi kukaa ikulu... yaan anaua mpaka vijana wenye umri wa miaka 18 halafu anakuja kutwambia eti "kazi na utu" ni utu upi huo anaouongelea shetani yule?

Nyie machawa mkianza kumtetea huyo mama yenu mnakuwa wajinga kama yeye, yaan huwa hamuongeleo kabisa jinsi anavyoumiza familia za watu kupitia majangiri wenzake akina mafwele... nyie mnakuja kututajia maSGR utafikiri yana umuhimu sana kuliko uhai wa watu anaowapoteza, wajinga sana nyie

Eti "mama ni mtu poa sana".. pumbav kabisa chawa usiyekuwa na utu wala ubinadamu.
Unaijua MKIRU?
 
Unaijua MKIRU?
Nyie machawa huwa mna akili finyu sana kama huyo shetani mnaomlamba makalio kutoka KUZIMU-KAZI.

Mtu analifisadi taifa kwa kiwango cha kutisha, bado unamuona wa maana?

Mtu kafukuza wamasai kutoka kwenye aridhi yao ya asili na kisha aridhi hiyo kawakabidhi wajomba zake waarabu, halafu wewe unasema eti ni mtu poa?

Mtu hana uvumilivu kwa wakosoaji wake, ukimkosoa tu kidogo hasubui ya kesho una hati hati ya kutoiona, halafu wewe uko hapa unamuimbia mapambio eti watu wanamchokoza wenyewe?

Samia hafai kabisa hata kidogo kuwa kiongozi wa ngazi yoyote ile kwenye taifa...

..ni wapumbavu walamba asali na majizi na wabinafsi ndio mnamuona samuya ni mtu wa maana, na wakati ni shetani asiyefaa hata kidogo.
 
Na hapo ndipo shida ilipo. Ila ni dhana mbovu isiyoendana na Dunia ya leo. Binafsi sijaona underperformance ya Maza. Kama projects zinaenda na Bata watu wanakula na nyumba wanajenga. Tumebaki na manung'uniko yasiyo na ukweli wowote. Kila sekta imepiga hatua kutoka pale ilipokuwa. Anafanya good balance, miradi iende na maisha yaende.

Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia utu wa hali ya juu kwenye majanga, mfano lile janga la Katesh.

Ujenzi wa shule za 104 za kisasa za Sayansi ni mpango ambao utakuja kuleta manufaa makubwa sana kwa Taifa huko mbele. Plan ya kuhakikisha kila mkoa unakuwa na chuo kikuu au kampasi ni mradi wa aina yake ambao utaleta ajira nyingi. Ujenzi na ufufuaji wa dkimu za umwagiliaji kwa idadi kubwa. Tumelia kwa muda mrefu kuwa bahari yetu hatuitendei haki hasa katika uvuvi, ukifika Kilwa ukiangalia ile Bandari ya uvuvi utatamani kulia. Kwenye michezo hajaacha kuweka mkono wake, Uwanja wa Uhuru umekuwa wa kisasa, Arusha ni mji wa Kitalii na Taasisi za Kimataifa lakini kwa miaka mingi uwepo wa uwanja wa michezo wa kisasa ni jambo lililosahaulika hadi Maza akaona hilo.

Samia schemes za Kawe na maghorofa ya Morocco yaliyokuwa yamelala leo yameisha. Mikopo ya elimu ya juu ameitanua hadi kuwafikia watu wa diploma. Sekta ya utalii ilishakufa, Arusha ilikuwa hoi bin taaban, walimbeza kwenye Royal Tour, leo waliombeza ndio wanafaika wakubwa, hususan Kanda ya Kaskazini.

Mnyonge asinyongwe, na haki yake apewe. Maza amefanya mengi sana, ila kuna watu with no reason wameamua kubagaza na kuiaminisha jamii kuwa hajafanya kitu.
Sisi sio wajinga
 
Wamaza ukiwachukulia poa ndio wanavyokuwa. Akifikiria iweje watu hawa walinywea wakati wa chuma lakini wampande kichwani zama hizi. Otherwise, Maza mtu poa saaana.
Acha uongo hakuna walionywea wakati wa magufuli, alipingwa na kukosolewa Hadi siku ya mwisho
 
Mnaambiwa msiende kupiga kura, hamuelewi nini?

Kama uliwahi hata kutumiwa kibonza cha samia ukacheka wewe ni wao tu hata ujipendekeze.
Hivyo msiende kupiga kura bali shika mawe andamana.
 
Nadhani hilo swali ni la kumuuliza organiser Mange Kimambi.
Maandamano siyo ya mange kimambi ni ya watanganyika wadai haki, acha u ndumila kuwili.

Wewe hujui watu wana tekwa na kupotezwa?

Hivyo unasema NRE ni ya Lissu pia?
 
Maandamano siyo ya mange kimambi ni ya watanganyika wadai haki, acha u ndumila kuwili.

Wewe hujui watu wana tekwa na kupotezwa?

Hivyo unasema NRE ni ya Lissu pia?
Naongelea organisers mbona unadanndia tu.
 
Umesema maandamano ni ya mange kimambi organizer!, yeye ndiye aulizwe ikiwa maandamano yatafanyika siku nyingine yatakuwa yame expire?
Kumbuka mdau aliuliza kwamba kweni haiwezekani kuahirisha maandamano nikamjibu amuulize Mange Kimambi ambaye ndio organiser.
 
Msemaji mkuu wa jeshi la polisi nchini DCP Davidi Misime amesema kuwa Jeshi la polisi litawakamata wote waliohamasisha maandamano hatakama utakuja kupiga kura, miseme amesema utaruhusiwa kupiga kura lakini baada ya kumaliza tukio hilo utachukuliwa na jeshi hilo kwa hatua zaidi.

Amesema wanaohamasisha maandamano Wana picha zao, na hata siku ya uchaguzi wakienda kupiga kura watawasubiri wamalize kupiga kura kisha wawakamate.

My Take

Hapa Jeshi linazingua hii ni hatua mbaya kwa wapiga kura kwasababu Polisi wanatengeneza mazingira ya watu kutokwenda kupiga kura.
Maana yake nini?hamna kutiki au wakutiki wanao ulinzi na wasootiki hakiyao kitekwa?
 
Back
Top Bottom