GE2025 DCP Misime: Kama ulihamasisha maandamano hata ukitiki tunakukamata

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watashikwa sana wataoenda kupiga salama, salama ipo kwetu tutao toka. Wapiga kula acha wakafanywe mfano, shetani hana urafiki
 
Nadhani hilo swali ni la kumuuliza organiser Mange Kimambi.
Nimecheka sana kaka. Ndiyo maana hawa watu hawako serious, kitendo cha kumtumia Mange kama organizer ndiyo failure namba moja. Kadudumtu kale unakaaminije kwa mambo serious kama hayo. Poleni sana.
 
Ni lini wabongo tumekuwa serious Mange Kimambi anaorganise insurrection kwenda ikulu kumuua raisi wa nchi na sisi tunajaa kwenye huo mtego.🤣
 
Kama ulikua unahamasisha maandamano na vurugu sijui kupindua nchi hakikisha kweli unafanikiwa ila ikipita October 29 na hayajafanikiwa kimbia nchi , maana ni kama ulimvizia baunsa na rungu alafu ukamkosa kitakachofata familia yako yote itapata funzo kupitia wewe ukiwa magereza.

Kwenye hili suala hamna masihara kabisa.
 
Ni lini wabongo tumekuwa serious Mange Kimambi anaorganise insurrection kwenda ikulu kumuua raisi wa nchi na sisi tunajaa kwenye huo mtego.🤣
Yaani heshima yote Tanzania iliyojiwekea kote Duniani ikavunjwe kwa wapuuzi wachache wasioelewa nini maana ya Taifa???
 
Unajua jamii zetu za kiafrika zimezoea uongozi wa mfumo dume.
Na hapo ndipo shida ilipo. Ila ni dhana mbovu isiyoendana na Dunia ya leo. Binafsi sijaona underperformance ya Maza. Kama projects zinaenda na Bata watu wanakula na nyumba wanajenga. Tumebaki na manung'uniko yasiyo na ukweli wowote. Kila sekta imepiga hatua kutoka pale ilipokuwa. Anafanya good balance, miradi iende na maisha yaende.

Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia utu wa hali ya juu kwenye majanga, mfano lile janga la Katesh.

Ujenzi wa shule za 104 za kisasa za Sayansi ni mpango ambao utakuja kuleta manufaa makubwa sana kwa Taifa huko mbele. Plan ya kuhakikisha kila mkoa unakuwa na chuo kikuu au kampasi ni mradi wa aina yake ambao utaleta ajira nyingi. Ujenzi na ufufuaji wa dkimu za umwagiliaji kwa idadi kubwa. Tumelia kwa muda mrefu kuwa bahari yetu hatuitendei haki hasa katika uvuvi, ukifika Kilwa ukiangalia ile Bandari ya uvuvi utatamani kulia. Kwenye michezo hajaacha kuweka mkono wake, Uwanja wa Uhuru umekuwa wa kisasa, Arusha ni mji wa Kitalii na Taasisi za Kimataifa lakini kwa miaka mingi uwepo wa uwanja wa michezo wa kisasa ni jambo lililosahaulika hadi Maza akaona hilo.

Samia schemes za Kawe na maghorofa ya Morocco yaliyokuwa yamelala leo yameisha. Mikopo ya elimu ya juu ameitanua hadi kuwafikia watu wa diploma. Sekta ya utalii ilishakufa, Arusha ilikuwa hoi bin taaban, walimbeza kwenye Royal Tour, leo waliombeza ndio wanafaika wakubwa, hususan Kanda ya Kaskazini.

Mnyonge asinyongwe, na haki yake apewe. Maza amefanya mengi sana, ila kuna watu with no reason wameamua kubagaza na kuiaminisha jamii kuwa hajafanya kitu.
 
Magufuli pia alifanya mambo mengi lakini alichukiwa kwa kuongoza nchi kwa mkono wa chuma Maza alainishe mkono amuachilie Lissu image yake imeharibika sana.
 
Mimi binafsi ni mtu mwenye uvumilivu sana lakini ukinipa cheo cha urais itakuwa vigumu kumvumilia TAL. Yes, ni moja kati ya brain nzuri sana tuliye naye na namkubali sana ila shida yake yuko too perfect. Hana stahamala.
 
Atolewe ndani ili tutengeneze serikali ya umoja wa kitaifa tuingie kwenye mchakato wa Katiba mpya.
 
Na hapo ndipo shida ilipo. Ila ni dhana mbovu isiyoendana na Dunia ya leo. Binafsi sijaona underperformance ya Maza. Kama projects zinaenda na Bata watu wanakula na nyumba wanajenga. Tumebaki na manung'uniko yasiyo na ukweli wowote. Kila sekta imepiga hatua kutoka pale ilipokuwa. Anafanya good balance, miradi iende na maisha yaende.

Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia utu wa hali ya juu kwenye majanga, mfano lile janga la Katesh.

Ujenzi wa shule za 104 za kisasa za Sayansi ni mpango ambao utakuja kuleta manufaa makubwa sana kwa Taifa huko mbele. Plan ya kuhakikisha kila mkoa unakuwa na chuo kikuu au kampasi ni mradi wa aina yake ambao utaleta ajira nyingi. Ujenzi na ufufuaji wa dkimu za umwagiliaji kwa idadi kubwa. Tumelia kwa muda mrefu kuwa bahari yetu hatuitendei haki hasa katika uvuvi, ukifika Kilwa ukiangalia ile Bandari ya uvuvi utatamani kulia. Kwenye michezo hajaacha kuweka mkono wake, Uwanja wa Uhuru umekuwa wa kisasa, Arusha ni mji wa Kitalii na Taasisi za Kimataifa lakini kwa miaka mingi uwepo wa uwanja wa michezo wa kisasa ni jambo lililosahaulika hadi Maza akaona hilo.

Samia schemes za Kawe na maghorofa ya Morocco yaliyokuwa yamelala leo yameisha. Mikopo ya elimu ya juu ameitanua hadi kuwafikia watu wa diploma. Sekta ya utalii ilishakufa, Arusha ilikuwa hoi bin taaban, walimbeza kwenye Royal Tour, leo waliombeza ndio wanafaika wakubwa, hususan Kanda ya Kaskazini.

Mnyonge asinyongwe, na haki yake apewe. Maza amefanya mengi sana, ila kuna watu with no reason wameamua kubagaza na kuiaminisha jamii kuwa hajafanya kitu.
Kitendo cha mama ako kumiliki magenge ya majangiri ambayo kazi yao ni kuteka na kuua watanzania ambao ndio wanainchi wake alioapa kuwatumikia na kuwalinda kisa tu wanamkosoa, kinaondoa kabisa hayo mazuri yote uliyotutajia hapa.

Wewe unatujengea shule halafu hapo hapo hapo unatuulia vijana wetu kisa tu wameponda bango la picha yako, sasa hizo shule unazijenga za nini? Akasome nani?

Unajenga hospitali na mabarabara sijui SGR halafu wanainchi hao ambao ndio wakutumia hiyo miundo mbinu, unawateka na kuwapoteza... sasa hiyo miundo mbinu ya nini? Ataitumia nani?

Hivi leo unaweza ukamfuata mzazi wa Polepole au mzazi wa Mdude au mzazi wa Chaula ukamwambia eti samia ni kiongozi mzuri kisa ametekeleza hiyo miradi akakuelewa kweli? Unajua maumivu wanayoskia wazazi wa hao watu? Unajua jinsi wanavyojiskia kila wakiskia sauti ya samia?

Uhai wa binadamu haulinganishwi hata kidogo na hayo ma SGR sijui shule au nyongeza ya mishaara..!!

Halafu unasema eti "mama ni mtu poa sana" like seriously? ana upoa gani huyo shetani kutoka KUZIMU-KAZI asiyekuwa na ubinadamu hata kidogo?

Tanzania haijawahi kuwa na raisi shetani kama samia, samia ni mwanamke shetani kabisa kuwahi kukaa ikulu... yaan anaua mpaka vijana wenye umri wa miaka 18 halafu anakuja kutwambia eti "kazi na utu" ni utu upi huo anaouongelea shetani yule?

Nyie machawa mkianza kumtetea huyo mama yenu mnakuwa wajinga kama yeye, yaan huwa hamuongeleo kabisa jinsi anavyoumiza familia za watu kupitia majangiri wenzake akina mafwele... nyie mnakuja kututajia maSGR utafikiri yana umuhimu sana kuliko uhai wa watu anaowapoteza, wajinga sana nyie

Eti "mama ni mtu poa sana".. pumbav kabisa chawa usiyekuwa na utu wala ubinadamu.
 
Back
Top Bottom