GE2025 DCP Misime: Kama ulihamasisha maandamano hata ukitiki tunakukamata

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unaijua MKIRU?
 
Unaijua MKIRU?
Nyie machawa huwa mna akili finyu sana kama huyo shetani mnaomlamba makalio kutoka KUZIMU-KAZI.

Mtu analifisadi taifa kwa kiwango cha kutisha, bado unamuona wa maana?

Mtu kafukuza wamasai kutoka kwenye aridhi yao ya asili na kisha aridhi hiyo kawakabidhi wajomba zake waarabu, halafu wewe unasema eti ni mtu poa?

Mtu hana uvumilivu kwa wakosoaji wake, ukimkosoa tu kidogo hasubui ya kesho una hati hati ya kutoiona, halafu wewe uko hapa unamuimbia mapambio eti watu wanamchokoza wenyewe?

Samia hafai kabisa hata kidogo kuwa kiongozi wa ngazi yoyote ile kwenye taifa...

..ni wapumbavu walamba asali na majizi na wabinafsi ndio mnamuona samuya ni mtu wa maana, na wakati ni shetani asiyefaa hata kidogo.
 
Sisi sio wajinga
 
Wamaza ukiwachukulia poa ndio wanavyokuwa. Akifikiria iweje watu hawa walinywea wakati wa chuma lakini wampande kichwani zama hizi. Otherwise, Maza mtu poa saaana.
Acha uongo hakuna walionywea wakati wa magufuli, alipingwa na kukosolewa Hadi siku ya mwisho
 
Mnaambiwa msiende kupiga kura, hamuelewi nini?

Kama uliwahi hata kutumiwa kibonza cha samia ukacheka wewe ni wao tu hata ujipendekeze.
Hivyo msiende kupiga kura bali shika mawe andamana.
 
Nadhani hilo swali ni la kumuuliza organiser Mange Kimambi.
Maandamano siyo ya mange kimambi ni ya watanganyika wadai haki, acha u ndumila kuwili.

Wewe hujui watu wana tekwa na kupotezwa?

Hivyo unasema NRE ni ya Lissu pia?
 
Maandamano siyo ya mange kimambi ni ya watanganyika wadai haki, acha u ndumila kuwili.

Wewe hujui watu wana tekwa na kupotezwa?

Hivyo unasema NRE ni ya Lissu pia?
Naongelea organisers mbona unadanndia tu.
 
Naongelea organisers mbona unadanndia tu.
Umesema maandamano ni ya mange kimambi organizer!, yeye ndiye aulizwe ikiwa maandamano yatafanyika siku nyingine yatakuwa yame expire?
 
Picha zenu tunazo wote humu. Tutawanyakua sana 🤣🤣🤣🤣
 
Umesema maandamano ni ya mange kimambi organizer!, yeye ndiye aulizwe ikiwa maandamano yatafanyika siku nyingine yatakuwa yame expire?
Kumbuka mdau aliuliza kwamba kweni haiwezekani kuahirisha maandamano nikamjibu amuulize Mange Kimambi ambaye ndio organiser.
 
Maana yake nini?hamna kutiki au wakutiki wanao ulinzi na wasootiki hakiyao kitekwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…