Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime akiongea Septemba 27, 2025 kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya amesema yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, kuna uhamasishaji wa uasi na picha chafu kinyume na maadili ya dini na ni katazo la maandiko matakatifu.
Ameongeza kuwa, hayo yanapandikiza chuki na kushambulia mifumo mbalimbali ya kisheria, taasisi, uongo na uzushi.
Soma zaidi: Viongozi wa dini wahimizwa kuelimisha matumizi ya mitandao ya kijamii
Ameongeza kuwa, hayo yanapandikiza chuki na kushambulia mifumo mbalimbali ya kisheria, taasisi, uongo na uzushi.
Soma zaidi: Viongozi wa dini wahimizwa kuelimisha matumizi ya mitandao ya kijamii