Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Shida hapo viongozi wamakuwa na upofu hivi kweli wameshindwa kuusoma mchezo hali ilivyo mtaani?Ifikie wakati watawala wakubali tu ni ngumu kuwaziba midomo wananchi kuongea/kutoa hisia zao. Kama watawala mnawazuia wananchi kutoa hisia zao hadharani, basi mfahamu watatumia njia nyingine zozote zile kuongea! Ila siyo kunyamaza kimya! Hilo ni jambo lisilo wezekana.
Maana kama bubu tu anaongea! Sembuse mtu ambaye siyo bubu! Acheni kuziba masikio. Fanyieni kazi changamoto/malalamiko yao. Mengine yana mashiko. Na hivyo siyo kila malalamiko ni ya kupuuza, au kuwakamata na kuwafunga/kuwapoteza; kwa lengo eti la kuwanyamazisha! Jambo hilo haliwezekani.
Naona piliCCM kwao kuua, kutesa, kuteka ni kitu kizuri kuliko matusi ya mtandaoni. Yaani huwezi kuwasikia wakikemea haya mambo ya utekajiMsemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime akiongea Septemba 27, 2025 kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya amesema yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, kuna uhamasishaji wa uasi na picha chafu kinyume na maadili ya dini na ni katazo la maandiko matakatifu.
Ameongeza kuwa, hayo yanapandikiza chuki na kushambulia mifumo mbalimbali ya kisheria, taasisi, uongo na uzushi.
Soma zaidi: Viongozi wa dini wahimizwa kuelimisha matumizi ya mitandao ya kijamii
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime akiongea Septemba 27, 2025 kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya amesema yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, kuna uhamasishaji wa uasi na picha chafu kinyume na maadili ya dini na ni katazo la maandiko matakatifu.
Ameongeza kuwa, hayo yanapandikiza chuki na kushambulia mifumo mbalimbali ya kisheria, taasisi, uongo na uzushi.
Soma zaidi: Viongozi wa dini wahimizwa kuelimisha matumizi ya mitandao ya kijamii
Kitima na Mzee Kibao walihamasisha nini?

Polisi hawafuati PGO wala CPA ni kama magenge ya vibaka wa nchi za Amerika ya kusini...tuhuma zao zilipaswa kupelekwa mahakamani.
Huyu tukisema alikamatwa tutakua tunamuonea, huyu mzee alitekwa ...Mzee Kibao alikamatwa, na wala wakifanya fujo alipokamatwa.
Swali zuri na ninashangaa sana msemaji wa polisi anapewa podium katika mjadala wa dini ilhali taasisi anayoisemea imejaa damu za watu walioopotea na hata hawajali anahamasisha dini na maadili ilhali hiyo taasisi yao haina maadili wala utu...sasa kwanini hawakumpeleka mahakamani badala yake wakamtesa, wakamtoboa macho, wakamwagia tindikali, na kumuua?
Tanzania is a secular state by constitution, so where is this dini talk coming from?Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime akiongea Septemba 27, 2025 kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya amesema yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, kuna uhamasishaji wa uasi na picha chafu kinyume na maadili ya dini na ni katazo la maandiko matakatifu.
Ameongeza kuwa, hayo yanapandikiza chuki na kushambulia mifumo mbalimbali ya kisheria, taasisi, uongo na uzushi.
Soma zaidi: Viongozi wa dini wahimizwa kuelimisha matumizi ya mitandao ya kijamii
Kwa hiyo watu kutekwa, kuuawa, na wengine kutokomezwa pasipo uchunguzi wala watuhumiwa kukamatwa ndiyo maadili ya dini?Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime akiongea Septemba 27, 2025 kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya amesema yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, kuna uhamasishaji wa uasi na picha chafu kinyume na maadili ya dini na ni katazo la maandiko matakatifu.
Ameongeza kuwa, hayo yanapandikiza chuki na kushambulia mifumo mbalimbali ya kisheria, taasisi, uongo na uzushi.
Soma zaidi: Viongozi wa dini wahimizwa kuelimisha matumizi ya mitandao ya kijamii