De Gea adai Man Utd wamepewa laana

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Golikipa wa Man Utd, David De Gea anadai kuwa timu yao itakuwa imepewa laana na ndio maana haifanyi vizuri kwasasa!

Sijui tunachokifanya kwasasa, matokeo yamekuwa mabaya siku mpaka siku, nafikiri kuna mtu atakuwa ametupa mkosi/laana, aliongeza De Gea.

Una maoni gani kuhusu kauli ya De Gea? Unamuunga mkono au laah...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…