De Gea adai Man Utd wamepewa laana

De Gea adai Man Utd wamepewa laana

Sasa hapa Ronaldo alikosaje?

732A989A-FA41-429C-9B7E-0257DFF2514B.jpeg
 
Mpaka demu wa greenwood afute kesi kudadeki
Machezaji yamejaa unafki hasa huyu de gea na Ronaldo,
 
Manchester United hawana timu ya kushindania vikombe kwa sasa kwani wachezaji walionao ni wa kawaida sana.

Huwezi ukawa na mabeki kama akina Maguire, Lindelof au Bailly ukategemea eti timu hiyo itwae mataji labda waje kwenye hizi ligi za mchangani kama ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom