De Gea adai Man Utd wamepewa laana

Ili Man ipate mafanikio wachezaji wafuatao ama waondoke au wasipewe number, Pogba Rashford, Maguire na Luke Show hawa ni mzigo.
 
The curse contunes…
 
Kama DeGea anaamini kikosi walichonacho nichakupata matokeo ya maana yeye ndo atakua na matatizo yakufikiri.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Inawezekana kukawa kweli Kuna Laana, Mbona Simba Wana kikosi Cha hovyo na wameingia makundi
Kuna vitu pale Man U havieleweki.
Kama makocha wamebadilishwa Sana,kama wachezaji wazoefu Tena waliowahi kufanikiwa wamepita wengi, kama wachezaji vijana ndio wanao Sasa kama uongozi umesha badilishwa havieleweki shida Nini.
Simba Wana Mangungu anaye lalamikiwa na baadhi ya mashabiki lakini haifanyi vibaya kama man u.
 
Hakika aliekutoa bikra huwez msahau kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…