Dead Hand: Mfumo hatari wa Urusi wanaoutumia kumtishia Trump

Dead Hand: Mfumo hatari wa Urusi wanaoutumia kumtishia Trump

Ni propaganda za kirusi hizo.
Mfumo ulioundwa zaidi ya miaka 40 iliyopita uwe tishio leo?
Ni mikwara mbuzi.
Pia soma vizur ni kwelj ulianza enzi za Soviet union ila taarifa inasema unarekebishwa na kufanyiwa maendeleo ya teknolojia kila kukicha hadi sasa umekua advanced
 
afu utakuta ni MPIGA WINDOW na LIBRARY yake kashapakua movie torrent
utamwambia nini
yeye darkweb anaingia muda wowote kuna kila kitu humo hadi ballistic missile ukitaka unanunua huko
Acha kabisa ndugu yangu hii nchi sio yenyewe
 
Watanzania ni wajuaji sana kaka na hatujawahi Ata kuvumbua tairi la gari ya punda
Sema wewe ndugu yangu,yaani Watanzania huwa wanawabishia hata watu waliothubutu kuvumbua,kugundua,kutengeneza na kuunda vitu,wakati wao/sisi wa (TZ) hata vitambaa vya kufutia jasho na vijiti vya kutolea vinyama kwenye meno tunaagiza kutoka nje, wakati pamba inalimwa hapa na miti Iko kibao Mufindi.
 
Nyuklia haina umri ndugu kama unajua Hiroshima ilipigwa mwaka 1949 na mpaka leo hatujawahi wala hatutamani kuona kitu kama hicho
Hoja sio madhara ya nuclear bali kuwa na mfumo unaoweza kufanya hayo yote yaliyoelezwa hapo juu ikiwa ni pamoja na kuzuia mabomu ya nuclear.
 
Simu haijaribiwi kwa kuonja iogope tu hiyo vita
Tuliambiwa anga la Urusi linalindwa na mifumo hatari ya ulinzi, hata punje ya mchele inaonekana. Ukraine kwa sasa si anachagua pa kupiga? mapipa ya s400 yanalipuliwa na vidrones vilivyotengenezwa kienyeji hapo Ukraine!
 
Ni propaganda za kirusi hizo.
Mfumo ulioundwa zaidi ya miaka 40 iliyopita uwe tishio leo?
Ni mikwara mbuzi.
Huna akili we kwan hizo F- 35 zimeundwa mwaka juzi Mpaka zinasifika miaka hii? Mpaka mwakan zina miaka 20
 
Back
Top Bottom