Uchaguzi 2020 Deadline ya majina ya mawakala ni kesho, CHADEMA mmejiandaaje?

Uchaguzi 2020 Deadline ya majina ya mawakala ni kesho, CHADEMA mmejiandaaje?

fenestra rotunda

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2015
Posts
608
Reaction score
614
Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi vyama vyote vinatakiwa vipeleke majina ya mawakala wao kwa ajili ya viapo siku saba (7) kabla ya uchaguzi na kesho ndo siku yenyewe ya kuwasilisha majina na viapo.

Sisikii mikakati ya CHADEMA katika hili maana kosa moja hapa linaharibu mchezo mzima.

Sijajua pia wamejiandaa vipi kuhakiksha usalama wa mawakala kwa siku hizi saba na pia kuhakikisha kila wakala anakidhi vigezo vyoteili isitokee hata mmoja wa kunyimwa kiapo.

Nawasilisha.
 
Kama unabisha mpigie mgombea yeyote muombe uwe wakala wake uone atakwambia chama walishasema wanao tayari waliwapata vipi lini watakwambia hayakuhusu wewe siku ya kura nenda kapige utawaona
Wapo sahihi, huwezi kumuweka wakala kibaraka usiye mfahamu,
Kama hapo umeshauri jamaa apige simu aombe uwakala, unadhani Mgombea mwenye akili timamu atakubali hilo ombi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
50.-(1) A Returning Officer shall within fourteen days
before polling day or such other period to be directed by the
Commission, issue to candidates or political parties names and
addresses of polling stations.

(2) For the purpose of subregulation (1), a political party
participating in an election shall, subject to the provisions of the
Act and not later than seven days before election day, inform in
writing the Returning Officer the names and addresses of polling
agents and their respective polling stations.

(3) The Returning Officer shall, after receiving the
information under subregulation (2), inform the presiding
officers or polling assistants of the polling agents authorized to
be at each polling station.

(4) The polling agent shall, seven days before polling
day, take an oath of secrecy before the Returning Officer in Form
No. 6 as prescribed in the First Schedule to these Regulations.

(5) No polling agent shall be allowed to be at the polling
station without having taken an oath of secrecy.

(6) Subject to subregulation (2), the information of a
polling agent shall be accompanied by -
(a) two recent coloured passport size photographs;
(b) a copy of national identity card;
(c) a copy of voters’ card; or
(d) a copy of the passport that provides for personal
particulars.

(7) The Returning Officer shall prepare a list of polling
agents for each polling station and attach introductory letters,
photographs or copies of documents named under subregulation

(6) to serve as an introduction of polling agents at the polling stations.

(8) The introduction of polling agents under
subregulation (7) shall be sufficient evidence of identity of the
polling agents.

(9) Where a poling agent is introduced in terms of
subregulation (8)-
(a) no copy of Form No. 6 shall be issued for the
purpose of identification; and
(b) the production of any other form of identification at
the polling station shall not be required.

(10) Without prejudice to the preceding provisions,
where a political party has already appointed a polling agent in
respect of a polling station for presidential election, the political
party shall not appoint another polling agent at the same polling
station within the ward where there is a parliamentary election
candidate or a Councilor’s election candidate of the same party
contesting an election.
 
Kama unabisha mpigie mgombea yeyote muombe uwe wakala wake uone atakwambia chama walishasema wanao tayari waliwapata vipi lini watakwambia hayakuhusu wewe siku ya kura nenda kapige utawaona
Ni sawa tu nadhani kwa sababu uwakala ni jambo gumu sana huwezi kumpa mtu yoyote tu kungekuwa na usaili ingebidi uwe usaili mgumu sana kumpata mshindi atakayekuwa wakala.

Kuna mawakala kununuliwa kwa pesa ambazo hawajawahi kumiliki. Lazima ujipange kwa usalama wa kura zako

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi vyama vyote vinatakiwa vipeleke majina ya mawakala wao kwa ajili ya viapo siku saba (7) kabla ya uchaguzi na kesho ndo siku yenyewe ya kuwasilisha majina na viapo...
Maisha yamebadilika mno ndani ya hii miaka mitano ya utawala wa huyu jamaa, yaani CCM hii imeharibia amani ya nchi kabisa.

Wakala unaapishwa leo then unaanza kuishi kwa wasiwasi, unaogopa kutekwa... kuvamiwa na kufanyiwa mambo maovu...mambo gani haya

Haya mambo hayakuwepo kabisa tangu Mwalimu Nyerere hadi Kikwete.

Huyu mtu katuharibia kabisa utamaduni wetu wa kupendana, kuheshimiana na kuishi kwa amani.. uwe huna kitu ama unacho haikujalisha maisha yalisonga fresh tu.

Way forward to restore our peace and dignity.

Jiwe aondoke!! Imetoshaa!!
 
CHADEMA wameshafeli mimi na wadau wenzangu watano tumeshapitishwa kama mawakala wao na sisi tupo upande wa CCM. Yajayo yanafurahisha !
 
Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi vyama vyote vinatakiwa vipeleke majina ya mawakala wao kwa ajili ya viapo siku saba (7) kabla ya uchaguzi na kesho ndo siku yenyewe ya kuwasilisha majina na viapo...
"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yamebadilika mno ndani ya hii miaka mitano ya utawala wa huyu jamaa, yaani CCM hii imeharibia amani ya nchi kabisa.

Wakala unaapishwa leo then unaanza kuishi kwa wasiwasi....unaogopa kutekwa... kuvamiwa na kufanyiwa mambo maovu...mambo gani haya

Haya mambo hayakuwepo kabisa tangu Mwalimu Nyerere hadi Kikwete.

Huyu mtu katuharibia kabisa utamaduni wetu wa kupendana, kuheshimiana na kuishi kwa amani.. uwe huna kitu ama unacho haikujalisha maisha yalisonga fresh tu.

Way forward to restore our peace and dignity......Jiwe aondoke!! Imetoshaa!!
Hayo yanatokea kwenye ukoo wako ila siyo kwa watz.
 
Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi vyama vyote vinatakiwa vipeleke majina ya mawakala wao kwa ajili ya viapo siku saba (7) kabla ya uchaguzi na kesho ndo siku yenyewe ya kuwasilisha majina na viapo...
Cha msingi ni kwamba Chadema wapewe list ya vituo vyote ngazi ya kata,jimbo mpaka mkoa kisha wapeleke mawakala katika list ya vituo vyote 80k+ ,nje ya vituo ambavyo havipo kwenye list na wala hakuna wakala matokeo yake ni VOID.
 
Wanafanya siri wenzio sababu mawakala watalipwa posho

Chadema wameshajaza ndugu na marafiki zao tayari.Wewe endelea na ukereketwa huku ukipga miayo kwa njaa

Kuna ufisadi wa kufa mtu hapo

Posho za kusimamia uchaguzi nazo ni pesa za maana mpaka uje na huu utoto hapa? Posho za uwakala zina kipi cha maana zaidi ya kununulia vitumbua? Inaonekana umetoka kwenye dhiki sana mpaka unaona hela ya uwakala ni pesa ya maana.
 
Cha msingi ni kwamba Chadema wapewe list ya vituo vyote ngazi ya kata,jimbo mpaka mkoa kisha wapeleke mawakala katika list ya vituo vyote 80k+ ,nje ya vituo ambavyo havipo kwenye list na wala hakuna wakala matokeo yake ni VOID.
List ipo na wanachadema watapewa...
 
Posho za kusimamia uchaguzi nazo ni pesa za maana mpaka uje na huu utoto hapa? Posho za uwakala zina kipi cha maana zaidi ya kununulia vitumbua? Inaonekana umetoka kwenye dhiki sana mpaka unaona hela ya uwakala ni pesa ya maana.
Bila Shaka wewe haupo Tanzania na Kama upo huijui Hali halisi....unadhani ni wote wanaoweza kukaa kituoni kuanzia saa 12 asubuhi mpaka usiku wa manane Bila posho?

Hapo unataka wenzio 'wanunuliwe' kiurahisi...ni Mtanzania asiyetaka posho!?! Yaani posho unaita fedha za vitumbua?! Dah..Bila Shaka wewe unazo nyingi...usiwadharau wstanzania wenzio wenye dhiki...
 
Back
Top Bottom