Uchaguzi 2020 Deadline ya majina ya mawakala ni kesho, CHADEMA mmejiandaaje?

Uchaguzi 2020 Deadline ya majina ya mawakala ni kesho, CHADEMA mmejiandaaje?

Wako busy wanashangaa helicopter wakishtuka hawana mawakala wanaanza kutunga sound za kumwambia Amsterdam
 
Hii nchi inapaswa viongozi wa dini wakemee vikali kila aina ya hila kuelekea uchaguzi huu maana ninavyoona sisi kama nchi si wamoja tena,na kwa hiyo tusipuuze hivi vitisho tunavyosikia.

Kuna baadhi ya watu wanafanya ushabiki wa kipumbavu kutokana na kutokuwa na hekima tu,na pengine uwezo mdogo wa kufikiri. Hawaogopi kuchochea uwezekano wa kuvunjika kwa amani.

Tuiombee sana nchi,maana naona sasa wajinga wamekuwa wengi tena ndio mashabiki wakubwa wa vyama
 
Chadema wamejipanga kulalamika
Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi vyama vyote vinatakiwa vipeleke majina ya mawakala wao kwa ajili ya viapo siku saba (7) kabla ya uchaguzi na kesho ndo siku yenyewe ya kuwasilisha majina na viapo.

Sisikii mikakati ya CHADEMA katika hili maana kosa moja hapa linaharibu mchezo mzima.

Sijajua pia wamejiandaa vipi kuhakiksha usalama wa mawakala kwa siku hizi saba na pia kuhakikisha kila wakala anakidhi vigezo vyoteili isitokee hata mmoja wa kunyimwa kiapo.

Nawasilisha.
 
Usitake kupotosha nilichosema, huyo kiazi anasema viongozi vwa cdm wameshaweka ndugu zao, nikamwambia ni pesa gani ya maana mpaka aone ni deal sana ya kuitia ndugu? Ni kweli watu wana ugumu wa maisha, lakini hata wakiipata ni kipi cha maana wanaweza kufanya na hiyo posho, zaidi ya kununulia vitumbua? Au hiyo itawawezesha kufungua biashara ana kujenga nyumba?
Acha uongo kiwango ni kikubwa.laki moja kwa siku ni pesa ndogo? Na wanalipwa kwa siku saba .Laki saba ni pesa ndogo?
 
Back
Top Bottom