Uchaguzi 2020 Deadline ya majina ya mawakala ni kesho, CHADEMA mmejiandaaje?

Uchaguzi 2020 Deadline ya majina ya mawakala ni kesho, CHADEMA mmejiandaaje?

Tena hiyo list mbali ya kuonyesha jina inabidi na coordanates zake ziwepo, ili kujiridhisha na hicho kituo kama kweli kipo.
Ungesema mapema...ila binafsi nimeshawahi kuhusika na masuala ya uchaguzi...hakuna Siri Wala Nini.
 
Bila Shaka wewe haupo Tanzania na Kama upo huijui Hali halisi....unadhani ni wote wanaoweza kukaa kituoni kuanzia saa 12 asubuhi mpaka usiku wa manane Bila posho?! Hapo unataka wenzio 'wanunuliwe' kiurahisi...ni Mtanzania asiyetaka posho!?! Yaani posho unaita fedha za vitumbua?! Dah..Bila Shaka wewe unazo nyingi...usiwadharau wstanzania wenzio wenye dhiki...

Usitake kupotosha nilichosema, huyo kiazi anasema viongozi vwa cdm wameshaweka ndugu zao, nikamwambia ni pesa gani ya maana mpaka aone ni deal sana ya kuitia ndugu?

Ni kweli watu wana ugumu wa maisha, lakini hata wakiipata ni kipi cha maana wanaweza kufanya na hiyo posho, zaidi ya kununulia vitumbua? Au hiyo itawawezesha kufungua biashara ana kujenga nyumba?
 
Usitake kupotosha nilichosema, huyo kiazi anasema viongozi vwa cdm wameshaweka ndugu zao, nikamwambia ni pesa gani ya maana mpaka aone ni deal sana ya kuitia ndugu? Ni kweli watu wana ugumu wa maisha, lakini hata wakiipata ni kipi cha maana wanaweza kufanya na hiyo posho, zaidi ya kununulia vitumbua? Au hiyo itawawezesha kufungua biashara ana kujenga nyumba?
Sijapotosha kauli yako...kuita fedha za vitumbua ni dharau kubwa...Mimi binafsi Ningekuwa mgombea ningeweka pia Ndugu zangu kwani hao ndio nawaamini..kwenye uchaguzi Kuna mengi...huwezi kuwaweka watu usiowaamini kwenye vituo...
 
CHADEMA PAMOJA NA LISSU KUWA WAKILI MZURI BADO MIONGOZO HAWASOMI! KABISAA UTASIKIA KESHO SAA 12 NDIO WANAPELEKA MAJINA!
IMG_20201020_134701_5.jpg
IMG_20201020_135242_3.jpg
IMG_20201020_135257_7.jpg
IMG_20201020_135300_3.jpg

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Sijapotosha kauli yako...kuita fedha za vitumbua ni dharau kubwa...Mimi binafsi Ningekuwa mgombea ningeweka pia Ndugu zangu kwani hao ndio nawaamini..kwenye uchaguzi Kuna mengi...huwezi kuwaweka watu usioamini kwenye vituo...

Basi alipaswa kusema wameweka ndugu zao kwani ndio wana imani nao, na sio kuonyesha kuwa wameweka ndugu ili kupata pesa. Narudia tena, hiyo posho ya uchaguzi ni uchafu kama uchafu mwingine, maana haina uwezo wa kubadili maisha ya yoyote zaidi ya mlo wa siku 2. Ingekuwa kazi ya uwakala ni kazi ya kudumu ungekuwa na hoja. Usitake kujifanya unaiheshimu wakati ni kuongezea umasikini watu.
 
Wanafanya siri wenzio sababu mawakala watalipwa posho

Chadema wameshajaza ndugu na marafiki zao tayari.Wewe endelea na ukereketwa huku ukipga miayo kwa njaa

Kuna ufisadi wa kufa mtu hapo

Kuwa wakala wa chama siyo kazi ya kila mtu wanatakiwa watu wenye uadilifu maana kuna TZS 300,000 hadi 500,000 za kiwashawishi wasaliti chama hivo siyo swala la kuteua tu ni uaminifu wa hali juu ndo unaotakiwa.
 
Maisha yamebadilika mno ndani ya hii miaka mitano ya utawala wa huyu jamaa, yaani CCM hii imeharibia amani ya nchi kabisa...
Wasiwasi wa nini? Waambie waache kujitisha🤣🤣
 
Basi alipaswa kusema wameweka ndugu zao kwani ndio wana imani nao, na sio kuonyesha kuwa wameweka ndugu ili kupata pesa. Narudia tena, hiyo posho ya uchaguzi ni uchafu kama uchafu mwingine, maana haina uwezo wa kubadili maisha ya yoyote zaidi ya mlo wa siku 2. Ingekuwa kazi ya uwakala ni kazi ya kudumu ungekuwa na hoja. Usitake kujifanya unaiheshimu wakati ni kuongezea umasikini watu.
Posho hata iwe sh. 5000 ni kubwa...watu hupigania hata jero au buku...ila vyama vingi vitaathirika kwa hili...vyama vyenye uwezo vitatoa Hadi sh 15000 kwa mtu na vingine labda sh. 3000.…viko vyama ambavyo vitakuwa na wakala Kila kituo...Ninao uhakika CCM itakuwa na wakala vituo vyote nchi nzima...Chadema itafuatia kwa mawakala mijini zaidi lakini siyo vituo vyote

Tuchukulie hiyo posho ni shilingi 20,000, ni kipi cha maana unaweza kufanya na hiyo hela kwa ugumu huu wa maisha? Kipi unaweza fanya na hiyo hela ambayo unaweza kufanya ni kumbukumbu ya kuwa wakala?
 
Tuchukulie hiyo posho ni shilingi 20,000, ni kipi cha maana unaweza kufanya na hiyo hela kwa ugumu huu wa maisha? Kipi unaweza fanya na hiyo hela ambayo unaweza kufanya ni kumbukumbu ya kuwa wakala?
Duh...wewe Ndugu yangu kweli huijui TZ...huyajui maisha ya watu wa chini...hiyo 20000 naweza kufanya mengi...atanunua madaftari kwa watoto/wadogo zake, atanunua kalamu...kule kijijini atanunua katambuga, atanunua shati la shule la mtumba...anaweza kununua simu ya mkononi ya sh 20000....na kadhalika na kadhalika..
 
Hivyo vitu vyote hukuwa navyo, kisha utegemee kuwa wakala ndio uvinunue! Narudia tena, hakuna chochote cha maana unaweza kufanya na posho ya mara moja kwa miaka mitano.

Kama una mitazamo ya kimaskini, na umeridhika nao ndio unaweza kuleta break down ya hivyo. Labda uniambie huyo mtu alikuwa anaishije mpaka hiyo posho ya siku moja ndio iwe mkombozi wa hayo mahitaji yake.
 
CHONDE! CHONDE! CHADEMA MAWAKALA WAKAAPISHWE
 
Hivyo vitu vyote hukuwa navyo, kisha utegemee kuwa wakala ndio uvinunue! Narudia tena, hakuna chochote cha maana unaweza kufanya na posho ya mara moja kwa miaka mitano. Kama una mitazamo ya kimaskini, na umeridhika nao ndio unaweza kuleta break down ya hivyo. Labda uniambie huyo mtu alikuwa anaishije mpaka hiyo posho ya siku moja ndio iwe mkombozi wa hayo mahitaji yake.
Duh...ngoja waje wengine
 
Kama unabisha mpigie mgombea yeyote muombe uwe wakala wake uone atakwambia chama walishasema wanao tayari waliwapata vipi lini watakwambia hayakuhusu wewe siku ya kura nenda kapige utawaona
Unawashwa wewe dada
 
Kama unabisha mpigie mgombea yeyote muombe uwe wakala wake uone atakwambia chama walishasema wanao tayari waliwapata vipi lini watakwambia hayakuhusu wewe siku ya kura nenda kapige utawaona
Wewe mataga, mambo ya CDM yanakuhusu nini? Acha ramli chonganishi
 
Wanafanya siri wenzio sababu mawakala watalipwa posho

CHADEMA wameshajaza ndugu na marafiki zao tayari. Wewe endelea na ukereketwa huku ukipiga miayo kwa njaa

Kuna ufisadi wa kufa mtu hapo
Siuseme tu CCM wanataka kuwanunua..!!
 
Back
Top Bottom