Uchaguzi 2020 Deadline ya majina ya mawakala ni kesho, CHADEMA mmejiandaaje?

Wako busy wanashangaa helicopter wakishtuka hawana mawakala wanaanza kutunga sound za kumwambia Amsterdam
 
Hii nchi inapaswa viongozi wa dini wakemee vikali kila aina ya hila kuelekea uchaguzi huu maana ninavyoona sisi kama nchi si wamoja tena,na kwa hiyo tusipuuze hivi vitisho tunavyosikia.

Kuna baadhi ya watu wanafanya ushabiki wa kipumbavu kutokana na kutokuwa na hekima tu,na pengine uwezo mdogo wa kufikiri. Hawaogopi kuchochea uwezekano wa kuvunjika kwa amani.

Tuiombee sana nchi,maana naona sasa wajinga wamekuwa wengi tena ndio mashabiki wakubwa wa vyama
 
Chadema wamejipanga kulalamika
 
Acha uongo kiwango ni kikubwa.laki moja kwa siku ni pesa ndogo? Na wanalipwa kwa siku saba .Laki saba ni pesa ndogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…