Deadline ya 'second round application' kwa TCU ni lini?

Mbwiga Acha Uongo Wewe Ni Mwanafunzi Wa Chuo Kama Mimi Tu Habari Za Tcu Unapata Wapi Kama Sio Unafiki Hata Mwaka Jana Ulijifagilia Hivi Hivi Ila Mwisho Wa Siku Nikaweka Mambo Yako Wazi Nafikiri Unanijua Vizuri Mimi Ndio OIL SUMU FROM MUCE Mwalimu Kwa Mfano
 

Man mwiga88 naomba unisaidie kitu 1 Jana nilufanya 2nd selection nikaambiwa kuwa nimekuwa selected but now nafungua akaut angu afu naambiwa eti sijawA selected so nimeambiwa et nirudie tena. Unanishaulieje mana hata coz zenyewe sijaona data 1ya kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…