Baada ya kuadimika kwa muda kidogo kutokana na kazi....sasa Mbwiga88 nimerudi tayari kwa majukumu yangu ya kuhabarishana na wana jamvi humu ndani...kwa wanaonifahamu vizuri wanatambua mchango wangu katika ku wa update na habari mbalimbali za TCU na selection za vyuo hapa jamvini mnamo mwaka 2013.......in 7 days from now nitakuwa nawaletea habari kutoka ndani ya TCU as they happen.....kwa sasa nakaribisha maswali and any queries...i will be happy to help in any way possible.......my Reputation preceds me....