Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
sawa mtani..ushindani ndio unafanya ligi inapendezaUtatuelewa tu mwaka huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mtani..ushindani ndio unafanya ligi inapendezaUtatuelewa tu mwaka huu
hapo hamna kitu...Habari za uhakika zilizonifikia hivi punde ni kwamba yule golikipa hatari na namna moja kwa Tanzania Aishi Manula amesaini timu kubwa Afrika Mashariki na Kati Simba SC
Manula amesaini miaka miwili kukipiga katika timu hiyo inayotegemewa kuwa mwakilishi wa uhakika kimataifa
Hongera Zakaria Hans Pope
Miti kapigwa Azam,mimba anabeba Yanga,haya majangaManula hana akili
tunasubiri point za FIFA tumulipeMmeshaanza kumlipa manji?
Angekua na akili angejiuliza huyu kipa kwa simba ni wa ngap ndan ya msimu 1 na wote walio achwa wame fail nn?Unauhakika?
Vipi barua yenu ya kupindua kichapo cha Kagera Sugar bado haijarudi toka FIFA?Yanga wanasubiri makombo
Ahaa, ndio maana amehamia timu ya FIFA? Wazee wa ubani mashtakaAkiwa Azam msimu ulioisha, ameisaidia timu yake kwa kiwango gani? Wamebeba ubingwa gani?
Kama wwManula hana akili
kweli kama wwKama ww
Avatar yako inaakisi kilichomokweli kama ww
kwakua akili yako ina amini kla unacho kiona ni sawaAvatar yako inaakisi kilichomo
Kama ww unavosema mwnzko hana akili sjui ww akil yako ikojekwakua akili yako ina amini kla unacho kiona ni sawa
Ungekua una uelewa ungejua kwnn nme sema hivyoKama ww unavosema mwnzko hana akili sjui ww akil yako ikoje
Oky mkuu ila saiv wachezaji wanaanglia pesa hawaanglii career yaoUngekua una uelewa ungejua kwnn nme sema hivyo