Deal Done:Aishi Manila asaini miaka miwili Simba SC

Deal Done:Aishi Manila asaini miaka miwili Simba SC

Habari za uhakika zilizonifikia hivi punde ni kwamba yule golikipa hatari na namna moja kwa Tanzania Aishi Manula amesaini timu kubwa Afrika Mashariki na Kati Simba SC

Manula amesaini miaka miwili kukipiga katika timu hiyo inayotegemewa kuwa mwakilishi wa uhakika kimataifa

Hongera Zakaria Hans Pope
hapo hamna kitu...
 
Karibu sana Manula katika "nyumba ya makombe". Tuna imani kubwa nawe.
 
kapombe nae karudi nyumbani,,hii timu mwakani inabeba confederation,,..natamani msimu uanze hata kesho kwa hili chama lilivo,,na za chinichini ni kwamba bado kuna mengi yanakuja sababu mo mwenyewe kaamua kusimamia usajili ukiplus mahela hela ya wadau wengine,,bas wanasimba kicheko tu msimu ujao
 
Back
Top Bottom