Deal Done: Feisal mambo safi

Hivi mnajua mnachoandika lakini, sasa hapa point yako Ni nini.
 
Yamebana weeh yameachia,mama kapiga shuti moja golini , injinia msomali chalii🤣🤣chezea kurudi Somalia wewe, Tanzania kuzuri asikwambie mtu.
Ohhh dogo tutamharibia maisha,kiko wapi Sasa? Utopolo hoyeee🤣
Chomoa utakunya kitandani.
 
Yamebana weeh yameachia,mama kapiga shuti moja golini , injinia msomali chalii🤣🤣chezea kurudi Somalia wewe, Tanzania kuzuri asikwambie mtu.
Ohhh dogo tutamharibia maisha,kiko wapi Sasa? Utopolo hoyeee🤣
Sisi makolo tulishadadia tukijua anakuja kwetu! Kumbe hamna😢😢
 
Wale ndezi wa umbumbuni waliokuwa wanapiga domo kwamba anaondoka bure kiko wapi sasa? 270milioni imewatoka na ule uhuni wa fei kuweka 112 kwenye account ulikuwa ni uhuni wa kizamani sana, kwanza walitakiwa watoe 300milioni ndiyo thamani ya fei but kwakuwa ni heshima ya Rais imewaokoa na wajifunze kufata utaratibu wa usajili, pia wameepuka kushtakiwa fifa kwa kumrubuni mchezaji aliye ndani ya mkataba halali na klabu yake kwakuwa jambo limeisha kibusara zaidi nje ya utaratibu wa kimpira vinginevyo pasingetosha!
 
Kama alivyokula pesa za mbumbumbu wa makolo mlizomchangia aende CAS.

Wajinga ndio mliwao.
Msaada usipotoka moyoni aliyeutoa hudai malipo.

Ila sisi tumeridhia kutoka moyoni kama tulivyoridhia kwenye ile session yenu ya kutembeza bakuli pale jangwani.


Sio kwasababu mpo chini ya GSM basi tuanzishe kampeni ya kudai michango yetu.

Noo. Hatuwezi kuwaomba mrudishe michango kwasababu hatukuwakopesha kwamba siku mkipata tajiri mje mturudishie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…