Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Mama Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Yanga
NakaziaZile pesa ambazo Fei kachangiwa aende CAS arudishe kwa jamii
Hivi mnajua mnachoandika lakini, sasa hapa point yako Ni nini.Yanga wamepita mule mule kwenye mkeka nilioleta juzi. Hapo sikuweka zile tiketi zilizokuwa zinanunuliwa kwa hiyo Yanga bado mna deni, chungeni mnaweza mpoteza na Mayele muda wowote.
Gharama za Algeria na kurudi = 200,000,000
+
Ndege hadi Mbeya 30,000,000
+
Ubwabwa wa Ikulu = 20,000,000
+
Goli la Fainali kwa Mkapa = 20,000,000
Jumla = 270,000,000
Gharama za kumuachia Feisal Salum = 270,000,000
Chomoa utakunya kitandani.Yamebana weeh yameachia,mama kapiga shuti moja golini , injinia msomali chalii🤣🤣chezea kurudi Somalia wewe, Tanzania kuzuri asikwambie mtu.
Ohhh dogo tutamharibia maisha,kiko wapi Sasa? Utopolo hoyeee🤣
Sisi makolo tulishadadia tukijua anakuja kwetu! Kumbe hamna😢😢Yamebana weeh yameachia,mama kapiga shuti moja golini , injinia msomali chalii🤣🤣chezea kurudi Somalia wewe, Tanzania kuzuri asikwambie mtu.
Ohhh dogo tutamharibia maisha,kiko wapi Sasa? Utopolo hoyeee🤣
Msaada usipotoka moyoni aliyeutoa hudai malipo.Kama alivyokula pesa za mbumbumbu wa makolo mlizomchangia aende CAS.
Wajinga ndio mliwao.
Inauma eeh?[emoji23]Kwenda mwana kwenda