Mbona dingi
Endeleeni kusajili tu wazee,kweli mikia ni timu ya vibabu!
View attachment 1113783
Simba ni timu tunaayofanya mambo kisomi na kimataifa. Afrika na dunia inatutazama kama timu tishio.
Utani: Bakuli mmeanza kulalama why Simba Sc imekuwa na viporo vya usajiri
'usajiri'....ndiyo kitu gani???!!!! Kwa upande mwingine uko sahihi ...dunia inaiangalia Simba kwa mshangao kwamba timu inawezekanaje iwe na viporo vya zaidi ya mechi kumi?? Bingwa wa kuteuliwa...uteuzi wa viti maalum...Tatizo lililopo ni pale mashabiki wa Simba wanapopata madaraka ndani ya TFF...Baadhi yetu tuna kumbukumbu na aliyewahi kuwa kiongozi wa Simba alipopata madaraka ndani ya TFF akawasilisha jina la Simba huko Cairo, Misri ishiriki michuano ya CAF wakati hata nafasi ya pili Simba ilikuwa haijashika kwenye ligi...Mashabiki wa Simba ndani ya TFF huwa wanakuwa hawana aibu hata kidogo katika mikakati ya kuipendelea timu yao...
Kama kipindi cha kaduguda, Simba alichukua ubingwa wa bara. Ligi ya muungano ndio haikuchezwa sababu ya kusimamishwa na mahakama.'usajiri'....ndiyo kitu gani???!!!! Kwa upande mwingine uko sahihi ...dunia inaiangalia Simba kwa mshangao kwamba timu inawezekanaje iwe na viporo vya zaidi ya mechi kumi?? Bingwa wa kuteuliwa...uteuzi wa viti maalum...Tatizo lililopo ni pale mashabiki wa Simba wanapopata madaraka ndani ya TFF...Baadhi yetu tuna kumbukumbu na aliyewahi kuwa kiongozi wa Simba alipopata madaraka ndani ya TFF akawasilisha jina la Simba huko Cairo, Misri ishiriki michuano ya CAF wakati hata nafasi ya pili Simba ilikuwa haijashika kwenye ligi...Mashabiki wa Simba ndani ya TFF huwa wanakuwa hawana aibu hata kidogo katika mikakati ya kuipendelea timu yao...
hahaha..... huyu siungi mkono hata kidogo...... AKIVUNJIKA ATAPONA KWELI??
Endeleeni kusajili tu wazee,kweli mikia ni timu ya vibabu!
Mbumbu fc wanakurupuka, Simba haina tatizo kwenye kiungo.View attachment 1113783
Simba ni timu tunaayofanya mambo kisomi na kimataifa. Afrika na dunia inatutazama kama timu tishio.
Utani: Bakuli mmeanza kulalama why Simba Sc imekuwa na viporo vya usajiri
Mpira umebadilika Sana au unajua zama za 4-4-2 tu ukiwa na viungo wawili tu namba 6 na 8 basi?Mbumbu fc wanakurupuka, Simba haina tatizo kwenye kiungo.
Usajiri unatokana na uhitaji wa mwalimu na mfumo atakaotaka kuutumia....Kama Simba inataka kucheza 3-5-2 wakiwa nyumbani maana take wanahitaji viungo wanyumbulifu ili Timu iwe inashambulia mda wote kwaio Kama akianza Chama ,Niyonzima na kahata sio kosa..angalia mechi ya As Vita dakika za mwisho tulivyofunguka Tukawa hatuna kiungo mwenye asili ya kukaba,game plan zinabadilika kulingana na mechi Kama tunataka ushindi wa goli nyingi tunaweka viungo wengiMbumbu fc wanakurupuka, Simba haina tatizo kwenye kiungo.
Kuna timu inasajili kuanzia golikipa hadi striker... hawa unasemaje?Mbumbu fc wanakurupuka, Simba haina tatizo kwenye kiungo.
Anachukua nafasi ya nani pale Msimbazi; Mzamiru, Mkude, Chama au baba paroko? Ndemla anapelekwa wapi?View attachment 1113783
Simba ni timu tunaayofanya mambo kisomi na kimataifa. Afrika na dunia inatutazama kama timu tishio.
Utani: Bakuli mmeanza kulalama why Simba Sc imekuwa na viporo vya usajiri
True, lkn wale vijana pale Jangwani, wamewasaidia nini Yanga?Endeleeni kusajili tu wazee,kweli mikia ni timu ya vibabu!
Wale vijana pale yanga wana nguvu ya kupitisha bakuli nyumba kwa nyumba.. mtaa kwa mtaa.True, lkn wale vijana pale Jangwani, wamewasaidia nini Yanga?
Vv
Hapo Simba tumechemkaSimba siku hizi imekuwa ' addiktedi' na ' wazee'! Unamwachaje kijana kama Juuko ukachukua huyo mzee?! Una Wawa, Nyoni afu unaongeza mzee mwingine Baresi
Na kwa KAGERE mlisema hvyo hvyo. ALIYOYAFANYA mmebaki vinywa waziJamaa anajua ila yuko slow sana, Bodaboda wasitegemee chochote cha maana toka kwa huyu
[emoji23][emoji23][emoji23]Bigirimana amewaingiza cha kike
Huyu Kahata namtabilia kuwa kama Rafael Kiongera au wale kina Serunkuma pale simba!