Deal Done: Kiungo wa GorMahia Fransic Kahata asaini Simba SC

View attachment 1113783
Simba ni timu tunaayofanya mambo kisomi na kimataifa. Afrika na dunia inatutazama kama timu tishio.

Utani: Bakuli mmeanza kulalama why Simba Sc imekuwa na viporo vya usajiri

'usajiri'....ndiyo kitu gani???!!!! Kwa upande mwingine uko sahihi ...dunia inaiangalia Simba kwa mshangao kwamba timu inawezekanaje iwe na viporo vya zaidi ya mechi kumi?? Bingwa wa kuteuliwa...uteuzi wa viti maalum...Tatizo lililopo ni pale mashabiki wa Simba wanapopata madaraka ndani ya TFF...Baadhi yetu tuna kumbukumbu na aliyewahi kuwa kiongozi wa Simba alipopata madaraka ndani ya TFF akawasilisha jina la Simba huko Cairo, Misri ishiriki michuano ya CAF wakati hata nafasi ya pili Simba ilikuwa haijashika kwenye ligi...Mashabiki wa Simba ndani ya TFF huwa wanakuwa hawana aibu hata kidogo katika mikakati ya kuipendelea timu yao...
 
Ushabik wa yanga na simba ni tatizo kubwa

Kama kipindi cha kaduguda, Simba alichukua ubingwa wa bara. Ligi ya muungano ndio haikuchezwa sababu ya kusimamishwa na mahakama.
 
Mbumbu fc wanakurupuka, Simba haina tatizo kwenye kiungo.
Usajiri unatokana na uhitaji wa mwalimu na mfumo atakaotaka kuutumia....Kama Simba inataka kucheza 3-5-2 wakiwa nyumbani maana take wanahitaji viungo wanyumbulifu ili Timu iwe inashambulia mda wote kwaio Kama akianza Chama ,Niyonzima na kahata sio kosa..angalia mechi ya As Vita dakika za mwisho tulivyofunguka Tukawa hatuna kiungo mwenye asili ya kukaba,game plan zinabadilika kulingana na mechi Kama tunataka ushindi wa goli nyingi tunaweka viungo wengi
 
Simba siku hizi imekuwa ' addiktedi' na ' wazee'! Unamwachaje kijana kama Juuko ukachukua huyo mzee?! Una Wawa, Nyoni afu unaongeza mzee mwingine Baresi
Hapo Simba tumechemka
 
Na KAGERE c ulimtabiria hvyo hvyo UTABIRI WAKO NI WA HOVYO HUJAWAH KUPATIA HAHAHA
Huyu Kahata namtabilia kuwa kama Rafael Kiongera au wale kina Serunkuma pale simba!
 
Back
Top Bottom