Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu hakuna picha yoyote isiyo na jezi hiyo ? hii jezi kwangu ni kero mara 2View attachment 1113783
Simba ni timu tunaayofanya mambo kisomi na kimataifa. Afrika na dunia inatutazama kama timu tishio.
Utani: Bakuli mmeanza kulalama why Simba Sc imekuwa na viporo vya usajiri
Huyu mbona umri kama babu
Simba inatatizo kwenye Difence, ili lina fahamika sasa kama wanaendelea kusajili viungo na Difence inavuja tutegemee Kichapo cha goli tanotano Kuendelea.Usajiri unatokana na uhitaji wa mwalimu na mfumo atakaotaka kuutumia....Kama Simba inataka kucheza 3-5-2 wakiwa nyumbani maana take wanahitaji viungo wanyumbulifu ili Timu iwe inashambulia mda wote kwaio Kama akianza Chama ,Niyonzima na kahata sio kosa..angalia mechi ya As Vita dakika za mwisho tulivyofunguka Tukawa hatuna kiungo mwenye asili ya kukaba,game plan zinabadilika kulingana na mechi Kama tunataka ushindi wa goli nyingi tunaweka viungo wengi
Usajiri haujaishaSimba inatatizo kwenye Difence, ili lina fahamika sasa kama wanaendelea kusajili viungo na Difence inavuja tutegemee Kichapo cha goli tanotano Kuendelea.
Usajili bado afu hizi ni tetesi tu, simba inafanya usajili kimyakimya, !! Itafahamika siku wakiwa kambi au simba day!! So tulieni na tuwaamini viongozi wetuSimba inatatizo kwenye Difence, ili lina fahamika sasa kama wanaendelea kusajili viungo na Difence inavuja tutegemee Kichapo cha goli tanotano Kuendelea.
Bado mmojaKwaiyo simba kamaliza wachezaj 10 akiwa n zana au
Tatizo la niyonzima kiburi kingiKahata! Kwangu bora Niyonzima kuliko huyu mtu.
Wewe kama naniKahata! Kwangu bora Niyonzima kuliko huyu mtu.
Anaitwa Walter BwalyaBado mmoja
Watatafuta pakutokea msimu ujayoAnaitwa Walter Bwalya
Wewe kama nani.... Mimi kama mimi mkuu...
Ingia YouTube, ndio mpishi mkuu wa KagereAnaupiga mwingi?