Deal Done: Kiungo wa GorMahia Fransic Kahata asaini Simba SC

Deal Done: Kiungo wa GorMahia Fransic Kahata asaini Simba SC

Usajiri unatokana na uhitaji wa mwalimu na mfumo atakaotaka kuutumia....Kama Simba inataka kucheza 3-5-2 wakiwa nyumbani maana take wanahitaji viungo wanyumbulifu ili Timu iwe inashambulia mda wote kwaio Kama akianza Chama ,Niyonzima na kahata sio kosa..angalia mechi ya As Vita dakika za mwisho tulivyofunguka Tukawa hatuna kiungo mwenye asili ya kukaba,game plan zinabadilika kulingana na mechi Kama tunataka ushindi wa goli nyingi tunaweka viungo wengi
Simba inatatizo kwenye Difence, ili lina fahamika sasa kama wanaendelea kusajili viungo na Difence inavuja tutegemee Kichapo cha goli tanotano Kuendelea.
 
Simba inatatizo kwenye Difence, ili lina fahamika sasa kama wanaendelea kusajili viungo na Difence inavuja tutegemee Kichapo cha goli tanotano Kuendelea.
Usajiri haujaisha
 
Simba inatatizo kwenye Difence, ili lina fahamika sasa kama wanaendelea kusajili viungo na Difence inavuja tutegemee Kichapo cha goli tanotano Kuendelea.
Usajili bado afu hizi ni tetesi tu, simba inafanya usajili kimyakimya, !! Itafahamika siku wakiwa kambi au simba day!! So tulieni na tuwaamini viongozi wetu
 
Sasa ni rasmi mchezaji wa timu ya taifa ya kenya Kahata amemwaga wino kwa mabingwa wa TPL SSC
Screenshot_20190704-173627.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_15622509947272271.jpg
    FB_IMG_15622509947272271.jpg
    39.2 KB · Views: 19
Kwaiyo simba kamaliza wachezaj 10 akiwa n zana au
 
Back
Top Bottom