Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Hilo mbumbumbu ungeliacha kwa kulipotezea tu Mkuu!Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
Kwani hakuna vipimo vya afya vinavyomlazimisha mtu kupima urefu???
Kwa faida yako tu ni kwamba hicho kipimo cha urefu pia ni kipimo cha afya ili kubalance uzito na kimo chake ili kutoupa mwili kazi kubwa ya kuhimili uzito wa usiotakiwa.
Wewe ni mtu wa ajabu sana.Hapo anapimwa vipimo vya afya au vipimo vya UREFU????
Vyura ni vyura tu nimeamini!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Ungewauliza azam alichowafanya pale chamazi ndio ungejua shughuli yakeMchezaji anayecheza Swaziland naye mchezaji? Angejiunga Hata na Kimondo Fc Ndio size yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukutane nao mwezi ujao aone jinsi atakavyomfunika Niyonzima.Ungewauliza azam alichowafanya pale chamazi ndio ungejua shughuli yake
Mkuu umesahau kama hao ni mbumbumbuWewe ni mtu wa ajabu sana.
Ulienda shule kupunguza ujinga kwa kujua kusoma na kuandika, pamoja na elimu hiyo umebaki siku zote kuwa ...
Neno La Leo: Kuna Tofauti Ya Mjinga Na Mpumbavu!
Mwingine huyu hapa, wale wale wasiojua kitu (Mbumbumbu).Duh.. Gongowazi huko sasa ni kuchezea afya kwa mchezaji. Yaani huko ndo kupima Afya?
Sema na hapaHapo anapimwa vipimo vya afya au vipimo vya UREFU????
Vyura ni vyura tu nimeamini!
Pogba wa tz nchi imekushinda!