Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akipiga show ya masaa manne ni mishahara yako ya miezi kibao
Asante mkuu!! Kila msanii anayesign Sony Africa analalamiko kama hili..
Hivi dimond nae kasign na nani?Hongera, wewe ni zaidi ya manyaunyau! Mpaka mshahara wangu unaujua..!!?
Alafu hatuongelei mishahara hapa, nimejaribu tu kupoint out mistakes ambazo naziona zinajirudia kwa wasanii wetu! Kama uko too blinded to see hiyo juu yako..
bwana wewe huna chochote utakachonambia, mlisema rockstar na mpaka sasa yuko nayo zaidi mmebaki kuponda kazi zake, hii yote ni kujiandaa tu ili baadaye kama atashuka mseme tulisema, miafrika ndio tulivyoHongera, wewe ni zaidi ya manyaunyau! Mpaka mshahara wangu unaujua..!!?
Alafu hatuongelei mishahara hapa, nimejaribu tu kupoint out mistakes ambazo naziona zinajirudia kwa wasanii wetu! Kama uko too blinded to see hiyo juu yako..
Uzuri Dr king alikuwa anaongelea 'moving forward' not 'backward'“If you can't fly then run, if you can't run then walk, if you can't walk then crawl, but whatever you do you have to keep moving forward.”......................Martin Jr King
Hizo show za kulipwa kwa dola ni promoters wangapi East Africa wanaziweza? Ok tusubirie tuone.watu kama nyinyi hamkosekani, r4000 nayo mliponda kama hivi, unajitahidi kumponda mtu ambaye akipiga show ya masaa manne ni mishahara yako ya miezi kibao
Diamond kafanyaje???Hivi dimond nae kasign na nani?
Dimond ameingia mkataba na nani? MkuuDiamond kafanyaje???
Hakuna kwamba eti 'tutakuja' kusema, Sony Music hawana record nzuri ya management Africa!! Ukinitajia msanii mmoja tu ambaye ana progress nzuri toka asign Sony ntakuelewa unachokisema..bwana wewe huna chochote utakachonambia, mlisema rockstar na mpaka sasa yuko nayo zaidi mmebaki kuponda kazi zake, hii yote ni kujiandaa tu ili baadaye kama atashuka mseme tulisema, miafrika ndio tulivyo
peterchoka my braza sio kila kitu ni cha kubishana kwa mrengo wa uteam,sometime u have to be very critical jitahidi kumuuliza maswali ya kuchallenge ili upate kujua usichokijua hii itakusaidia kujifunza mambo muhimu katika aspects tofauti tofauti.....bwana wewe huna chochote utakachonambia, mlisema rockstar na mpaka sasa yuko nayo zaidi mmebaki kuponda kazi zake, hii yote ni kujiandaa tu ili baadaye kama atashuka mseme tulisema, miafrika ndio tulivyo
Sasa diamond anahusika vipi kwenye hili? MkuuDimond ameingia mkataba na nani? Mkuu
utabaki hivyo hivyo mtoto wa kiume kumsubiri mwenzako ashuke, wasanii walikuwepo kwenye mainstream wakati kiba alipoamua kupumzika kawakuta na kawaacha unafikiri wanajisikiaje, hizo chuki sio wewe mpo wengi sanaHizo show za kulipwa kwa dola ni promoters wangapi East Africa wanaziweza? Ok tusubirie tuone.
Davido toka asaini na hao mabepari ashasahaulika kabakiza kutandika watu ngumi.Hakuna kwamba eti 'tutakuja' kusema, Sony Music hawana record nzuri ya management Africa!! Ukinitajia msanii mmoja tu ambaye ana progress nzuri toka asign Sony ntakuelewa unachokisema..
hizo team nishaachanga tangu mwaka uanze saivi ni kazi tu, ila kuna mtu unajua mrengo wake ni wa kuponda tu, mwingine alisema anasubiri video itoke aiponde, sasa hata ukiponda unapunguza ninipeterchoka my braza sio kila kitu ni cha kubishana kwa mrengo wa uteam,sometime u have to be very critical jitahidi kumuuliza maswali ya kuchallenge ili upate kujua usichokijua hii itakusaidia kujifunza mambo muhimu katika aspects tofauti tofauti.....
Namsubirije mtu aanguke wakati tayari yupo chini anatambaa hahahaha kelele za leo zisikudanganye.utabaki hivyo hivyo mtoto wa kiume kumsubiri mwenzako ashuke, wasanii walikuwepo kwenye mainstream wakati kiba alipoamua kupumzika kawakuta na kawaacha unafikiri wanajisikiaje, hizo chuki sio wewe mpo wengi sana
Idiot! Keep onNamsubirije mtu aanguke wakati tayari yupo chini anatambaa hahahaha kelele za leo zisikudanganye.
Mimi ni hater naesema ukweli ntakuumiza kichwa chako bure ukinifikiria.hizo team nishaachanga tangu mwaka uanze saivi ni kazi tu, ila kuna mtu unajua mrengo wake ni wa kuponda tu, mwingine alisema anasubiri video itoke aiponde, sasa hata ukiponda unapunguza nini