ma2mbo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 697
- 326
Pole fansi wa kibakuliIdiot! Keep on
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole fansi wa kibakuliIdiot! Keep on
Kwani daimond anajiendesha mwenyewe mkuuSasa diamond anahusika vipi kwenye hili? Mkuu
Peterchoka binafsi natamani sana Ali apande angalau tuwe na msanii mwingine kwenye stock yetu ya wasanii wa kimataifa kutoka TZ.!! Ndio maana tunakosoa ili asifanye makosa ambayo wenzake washayafanya, mwenzake KEKO wa Uganda anatamani muujiza utokee mkataba wake na Sony usiwepo alafu Kingi yeye ndo anaenda kujitumbukiza hapo hapohizo team nishaachanga tangu mwaka uanze saivi ni kazi tu, ila kuna mtu unajua mrengo wake ni wa kuponda tu, mwingine alisema anasubiri video itoke aiponde, sasa hata ukiponda unapunguza nini
Mkuu, tunaongelea ishu ya Kiba kusign Sony! Sasa sijakuelewa diamond tumzungumzie kwa minajili ipi???Kwani daimond anajiendesha mwenyewe mkuu
Kwani tanzania hii tuna msanii hata mmoja wa kimataifa mkuu mi sijaona kabisa labda unitajie huyo wa kimataifa unaemjua wewePeterchoka binafsi natamani sana Ali apande angalau tuwe na msanii mwingine kwenye stock yetu ya wasanii wa kimataifa kutoka TZ.!! Ndio maana tunakosoa ili asifanye makosa ambayo wenzake washayafanya, mwenzake KEKO wa Uganda anatamani muujiza utokee mkataba wake na Sony usiwepo alafu Kingi yeye ndo anaenda kujitumbukiza hapo hapo
Tega sikio kesho utamjua.Kwani tanzania hii tuna msanii hata mmoja wa kimataifa mkuu mi sijaona kabisa labda unitajie huyo wa kimataifa unaemjua wewe
Hahahah!! Mkuu, naona unani-bait twende kwenye mada fulani hivi.. Tuachane na hizo mada kiongozi, watu mtaanza mapovu ya ushabiki hapaKwani tanzania hii tuna msanii hata mmoja wa kimataifa mkuu mi sijaona kabisa labda unitajie huyo wa kimataifa unaemjua wewe
Anafukuza upepo duuh..methali nyingine ngumu kuelewaMwache aendelee kufukuza upepo!
Kuna ubaya gani nikimpongeza au Nina ugomvi nae gani??? Na kuna ubaya gani nikitoa angalizo ambalo labda linaweza kumsaidia msanii mwingine??? Ubaya unao uona wewe uko wapi???
Wanaelewa ila jeuri imewazidiUnacholisema kina mantik ila asilimia kubwa ya fans(team) wa kibongo hawatakuelewa...
Mkuu usishindane na watu wasiotumia kichwa kufikiriaKuna ubaya gani nikimpongeza au Nina ugomvi nae gani??? Na kuna ubaya gani nikitoa angalizo ambalo labda linaweza kumsaidia msanii mwingine??? Ubaya unao uona wewe uko wapi???
maelezo ya mtoa mada yanamantiki sana kaweka hadi na mifano ya wasanii waliokufa kupitia iyo lebo ajabu watu mnapambana bila hata ya kuwa na ka hoja ka moja ili mradi tu kiba awe juu anafikaje juu bila ya nyie mashabik kuona madhara ya mikataba na uzur wake utimu mbaya sana njooni na evidenc ili wasanii wetu wasonge mbele na kuonesha wap mtoa mada yupo chaka nyie mnapambambana tu.
Nakaaya Sumari yupo wap? C alisain sony nayeye
Kwanza sijasema eti nakaaya, rose n.k wamesaini Sony ambayo ni based Africa!! Nakaaya, rose, davido n.k walisaini na Sony Music Ent. BMG na kiba amesaini na Sony Music Africa ambayo ndio ina manage Keko n.k ( notice the difference) lakini all in all Sony zote hizi hazina reputation nzuri katika kumanage wasanii wa Africa..Ubaya hujauona? Unasema kasaini mkataba na Sony ambao ni based in Africa ambao hata wakina Nakaya,Rose Mhando na nk walisaini na si worldwide je mwenzetu umeuona? Au umesikia story za mtaa ukaja na bandiko lako hapa?..muda mwingine si lazima uonyeshe unamchukia mtu fulani just appreciate it and move on ..Tusiwe tunawakatisha tamaa vijana wenzetu