Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

hizo team nishaachanga tangu mwaka uanze saivi ni kazi tu, ila kuna mtu unajua mrengo wake ni wa kuponda tu, mwingine alisema anasubiri video itoke aiponde, sasa hata ukiponda unapunguza nini
Peterchoka binafsi natamani sana Ali apande angalau tuwe na msanii mwingine kwenye stock yetu ya wasanii wa kimataifa kutoka TZ.!! Ndio maana tunakosoa ili asifanye makosa ambayo wenzake washayafanya, mwenzake KEKO wa Uganda anatamani muujiza utokee mkataba wake na Sony usiwepo alafu Kingi yeye ndo anaenda kujitumbukiza hapo hapo
 
Kwani tanzania hii tuna msanii hata mmoja wa kimataifa mkuu mi sijaona kabisa labda unitajie huyo wa kimataifa unaemjua wewe
 
Kwani tanzania hii tuna msanii hata mmoja wa kimataifa mkuu mi sijaona kabisa labda unitajie huyo wa kimataifa unaemjua wewe
Hahahah!! Mkuu, naona unani-bait twende kwenye mada fulani hivi.. Tuachane na hizo mada kiongozi, watu mtaanza mapovu ya ushabiki hapa
 
Inaonekana mtoa uzi, unayajua sana mambo ya ali kiba, hebu tupe zaidi
 
maelezo ya mtoa mada yanamantiki sana kaweka hadi na mifano ya wasanii waliokufa kupitia iyo lebo ajabu watu mnapambana bila hata ya kuwa na ka hoja ka moja ili mradi tu kiba awe juu anafikaje juu bila ya nyie mashabik kuona madhara ya mikataba na uzur wake utimu mbaya sana njooni na evidenc ili wasanii wetu wasonge mbele na kuonesha wap mtoa mada yupo chaka nyie mnapambambana tu.
 
Kuna ubaya gani nikimpongeza au Nina ugomvi nae gani??? Na kuna ubaya gani nikitoa angalizo ambalo labda linaweza kumsaidia msanii mwingine??? Ubaya unao uona wewe uko wapi???

Ubaya hujauona? Unasema kasaini mkataba na Sony ambao ni based in Africa ambao hata wakina Nakaya,Rose Mhando na nk walisaini na si worldwide je mwenzetu umeuona? Au umesikia story za mtaa ukaja na bandiko lako hapa?..muda mwingine si lazima uonyeshe unamchukia mtu fulani just appreciate it and move on ..Tusiwe tunawakatisha tamaa vijana wenzetu
 
Mtafikiri hiyo mikataba mnaionaga hahahhahah....mnajua kilichoandikwa ndani?? Hivi ali kiba mnawafananisha na akina nakaaya ...ku sign contract inategemea na wewe juhud zako sasa kama ume sign lebo kubwa halaf umekalisha makalio yako bila juhud binafs kuendelea kua juu unafikr utaacha kutokuangukaaa....tumien le akiliz kubwaaz ...alaaah
 
Kuna ubaya gani nikimpongeza au Nina ugomvi nae gani??? Na kuna ubaya gani nikitoa angalizo ambalo labda linaweza kumsaidia msanii mwingine??? Ubaya unao uona wewe uko wapi???
Mkuu usishindane na watu wasiotumia kichwa kufikiria
 

Na wewe kwa akili yako hivi unaamini akina Nakaya,Rose Muhando wamechuja kisa walisaini mikataba na Sony au mtu kama D'banj kaisha kisanii kisa yupo lebo ya Kanye West? Tusiwe tunakariri kuwa msanini ataendelea kuwa juu milele na hawezi chuja kisanii yani zama zako kisanii zikipita huwa hazijirudii tena
 
Brother upo right... Hizi label zina wachukua wasanii lakini matunzo F. Tusubiri labda kwa kiba itakua tofauti.
 
Kwanza sijasema eti nakaaya, rose n.k wamesaini Sony ambayo ni based Africa!! Nakaaya, rose, davido n.k walisaini na Sony Music Ent. BMG na kiba amesaini na Sony Music Africa ambayo ndio ina manage Keko n.k ( notice the difference) lakini all in all Sony zote hizi hazina reputation nzuri katika kumanage wasanii wa Africa..

Tuje kwenye hoja yako, ofcoz sijauona mkataba lakini waswahili wanasema 'hatakama kusoma hujui lakini macho ya kuona umepewa', kwa kifupi niko karibu sana na music industry kwasababu za kibiashara so I know all the sh*t that's in there and I know the rules.. So sijauona mkataba lakini naweza kuimagine skeleton yake ikoje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…