Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #141
Alibana zisipigwe MTV! According to sallam..Huyo Seven ndo alietupiwa lawama kuwa lizibania video za Domo zisipingwe chanel gani sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alibana zisipigwe MTV! According to sallam..Huyo Seven ndo alietupiwa lawama kuwa lizibania video za Domo zisipingwe chanel gani sijui
Mrengo wako unajulikana hata uandikeje kashasaini ningekuona wa maana ungekuja na way forward sio malalamiko kibao binadamu yoyote anayewaza Ku feli kabla ya kufanya jambo ana matatizo in real life kwanini utumie mfano wa waliofeli na sio kufanikiwa hii ndo akili ya baadhi ya majority wa kitizii kuwaza kufeli kabla ya kufanya jambo ua among themHii thread haijaandikwa kwa mahaba ya uteam yoyote ile!! Nimeongea uhalisia ulivyo
Mleta mada autonaturally ni team dimondi...Pale mbongo anapoleta ujuaji hata kwa vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wake..acha kukariri ungeishia kumpongeza tu wala usingepungukiwa chochote ila umezunguka wewe ukikebehi kwa dili alilosaini afu unamalizia kwa kusema unampongeza si unafiki huo
Usitoke povu sana bibie, hebu slo mo kidogo..Mrengo wako unajulikana hata uandikeje kashasaini ningekuona wa maana ungekuja na way forward sio malalamiko kibao binadamu yoyote anayewaza Ku feli kabla ya kufanya jambo ana matatizo in real life kwanini utumie mfano wa waliofeli na sio kufanikiwa hii ndo akili ya baadhi ya majority wa kitizii kuwaza kufeli kabla ya kufanya jambo ua among them
Kupotea kwa wasanii sidhani ka eti kulisababishwa na Ku sign contract kuna vtu vingi tusiwasingizie hao son music hu change na huita creativity kubwa, efforts hata ung"are vipi msanii mda ukipta ndo basi tenaNani aliyeponda bibie!! Nimetoa angalizo achukue tahadhali wenzake wamepotea baada ya kujiassociate na hao watu.. Alafu watu gani hao wa insta wamepoa??? Team simba??? Hahahahah inaonekana huwajui hao jamaa
Una changanya madesa kwahyo we we ukifeli jambo na mwingine lazima afeli simply kwa kuwa kuna waliofeli loh hyo poor thinking kwanini utumie reference ya failures ingekuwa hivo watu wasingefanya mambo maishani.Usitoke povu sana bibie, hebu slo mo kidogo..
Ni hivi, binadamu unatakiwa ujue kujifunza kutoka kwa makosa ya wengine, usisubiri mpaka ufanye makosa mwenyewe, itakula kwako!! Hiyo ndio akili ya maisha.. So nimejaribu ku-highlight vitu kadhaa kiba ajifunze kwa wenzake waliofanya makosa tayari ili yeye achukue tahadahari
Aisee naona kichwa yako dhinto kuelewa bibie!! Haya kilala kheriUna changanya madesa kwahyo we we ukifeli jambo na mwingine lazima afeli simply kwa kuwa kuna waliofeli loh hyo poor thinking kwanini utumie reference ya failures ingekuwa hivo watu wasingefanya mambo maishani.
Hata akipotea sio mbaya kwa kua sio mara ya kwanza kiba kupotea na kurudi alishakaa kimya mpaka tukamsahau na mwisho amerudi kama mfameBro lets not get there kuhusu hiyo video maana nikitoa maoni yangu utaniona hater!! Tujadili mkataba wa Sony, meneja Seven kamshauri msanii wetu vibaya... Hata fika popote na Sony, awe makini sana, sony wana record nzuri sana ya kuwapoteza wasanii kwenye ramani ya mziki
Haya good night peace[emoji111] [emoji111] [emoji111]Aisee naona kichwa yako dhinto kuelewa bibie!! Haya kilala kheri
Ndo huyoHivi mleta maada ndo yule The bold wa Flora Mbasha enzi za sakata la Mbasha,flora na Gwajima?
Duh!Ndo huyo
Mrengo wako unajulikana hata uandikeje kashasaini ningekuona wa maana ungekuja na way forward sio malalamiko kibao binadamu yoyote anayewaza Ku feli kabla ya kufanya jambo ana matatizo in real life kwanini utumie mfano wa waliofeli na sio kufanikiwa hii ndo akili ya baadhi ya majority wa kitizii kuwaza kufeli kabla ya kufanya jambo ua among them
Haahahaa eden kimaro hapana mkuu!! Sina undugu na kiba wala sina uchungu nae, but hapa ni JamiiForums where we dare to talk openly.. Najaribu kuangalia tu hili suala kwa jicho la tatuHata akipotea sio mbaya kwa kua sio mara ya kwanza kiba kupotea na kurudi alishakaa kimya mpaka tukamsahau na mwisho amerudi kama mfame
Mwache azidi kupotea bold mbona una uchungu nae sana kwani ndugu yako bongo hii hatuna msanii wa kimataifa ni ujanja ujanja tu na ushetani
Unadhani wenzake waliobugi hawakuwa na vichwa juu ya mabega na washaurijaman mungu wangu hivi unaweza kuwekeza kwenye kitu bila kufikiria athari zake na madhara yake hii kali.....