Dear all Non-EAC jf Viewers

Dear all Non-EAC jf Viewers

Ndio maana mleta hoja katumia neno viewers sio kwa bahati mbaya. Kuna tofauti kati ya users na viewers, hatuwezi kujua wingi wao kwa sababu wanachungulia tu mara moja hawafanyi chochote. Hivyo basi huenda ni kweli kuna wengi wasio kuwa EA JF members ila wanatatizwa na lugha inayotumika.

Wapo users, yaani wana hadi login accounts za JF, hivyo wao ni users wa JF system and not just viewers.
 
Hehehe ila hao Warundi akina MOTOCHINI washa ukana uraia wao, maana Tanzania kuna ka-operation huwa wanafanya ka kuwafukuza wageni waliozamia kiharamu na kukatalia humo haswa wakimbizi kutokea Burundi.
Usipende kuwasha moto usioweza kuuzima!!
 
Your English is limited hata viewers lipo grammatical correct kwani aliowalenga hawatumii JF sababu ya language barrier so the forum is not useful for them.

Wakenya Hamjui English wala Swahili mnajua tu kikikuyu mkiongea English lafudhi ya kijaluo au kikamba ni kichefuchefu
Huwezi changia bila kuchokoza
 
Hehehe ila hao Warundi akina MOTOCHINI washa ukana uraia wao, maana Tanzania kuna ka-operation huwa wanafanya ka kuwafukuza wageni waliozamia kiharamu na kukatalia humo haswa wakimbizi kutokea Burundi.
Haha hao jamaa wanazamiaga tz kinyemela kwa wingi sana,kale ka ka operation ka watz kanaitwaga op-kimbunga kana wafagiaga kwa wingi sana, huyu jamaa atakuwa kwa ss hana ndugu apo tz, walishafurushwa hadi palee bujumbura, sijui jamaa anaponea wapi huyu...ila siku atadakwa lazma anyeee ndoo apo kisutu miezi kadhaa afu alete kamrejesho humu[emoji3] [emoji191]
 
Tatizo Tz wameanza kusisitiza matumizi ya vitambulisho hivi majuzi, sasa hapo unakuta ilikua rahisi kwa wakimbizi wa kutokea Burundi kuzamia Dar halafu wanahakikisha wamejua Kiswahili vizuri halafu na kushobokea shobokea mambo ya CCM. Kwa mtindo huo ilikua rahisi wao kukwepa uhamiaji.
 
Hahaa ndo maana unakuta lijitu limekariri azimio la arusha na ilani ya chama utadhani mwalim kafufuka, kumbe ndo kulinda nafsi linazuga tu...
Kale kawimbo ka chama kakianza ndo balaa asee anakata mauno hadi basi..tumeipenda wenyewe,cha chetu wenyewe, acha waisomeee namba[emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji2] [emoji2]
 
Your English is limited hata viewers lipo grammatical correct kwani aliowalenga hawatumii JF sababu ya language barrier so the forum is not useful for them.

Wakenya Hamjui English wala Swahili mnajua tu kikikuyu mkiongea English lafudhi ya kijaluo au kikamba ni kichefuchefu
haya basi dogo nimekuelewa..
 
Hakuna lugha nzuri kama KISWAHILI

Asiyetaka kukiongea akiwa Afrika ya Mashariki asepe.
 
Tatizo jf awakuweka kipengere cha nchi wakati wa kujiunga ingekuwa kila MTU anachagua nchi ya uraia wake na kuwe na alama ya kibendera mbele ya jina analotumia
 
Hahaa ndo maana unakuta lijitu limekariri azimio la arusha na ilani ya chama utadhani mwalim kafufuka, kumbe ndo kulinda nafsi linazuga tu...
Kale kawimbo ka chama kakianza ndo balaa asee anakata mauno hadi basi..tumeipenda wenyewe,cha chetu wenyewe, acha waisomeee namba[emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji2] [emoji2]
Wewe unajiita mkenya wakati sio mkenya dawa yako inachemka I will expose you very soon thank you.
 
Back
Top Bottom