Dear Babu Asprin...

Dear Babu Asprin...

kiongozi asprini ''LADIES' LOVER' leo vipi,africana pub patafaa?

unakumbuka kuwa MARIAM bado hatujamalizana nae?
 
Hongera sana Babu Asprin
mwenyezi mungu akupe maisha mema na marefu
Uwe na family yenye upendo zaidi
Mungu akupe miaka mingi zaidi uone watoto wa wajukuu zako
Na akupe neema katika maisha yako yote yale upangayo yapate kufanikiwa
Happy Belated Bday BINAMU
 
Teamo it is through this love that I MJ1 am rejuvenated...........meaning that the Uncondition Love am getting is the means through wh
ich rejuvenation takes place in me. (Hapa nitakuwa nimeandika Kingereza cha kiswahili ukiona hivyo lol.)
sasa emjeiwani skiliza hii sentensi ilitakiwa ikae hivi..
.............I am thanking YOU,for(cause) through your UNCONDITIONAL LOVE I am REJUVENATED....

haya sema AHSANTE MWALIMU
 
kiongozi asprini ''LADIES' LOVER' leo vipi,africana pub patafaa?

unakumbuka kuwa MARIAM bado hatujamalizana nae?
We kijana, rudi kwenye mada!

sasa emjeiwani skiliza hii sentensi ilitakiwa ikae hivi..
.............I am thanking YOU,for(cause) through your UNCONDITIONAL LOVE I am REJUVENATED....

haya sema AHSANTE MWALIMU

Hichi kiingereza cha kihandisi unakileta huku? Kakamate kalkuleta kule ukafanye estimesheni.
 
kiongozi asprini ''LADIES' LOVER' leo vipi,africana pub patafaa?

unakumbuka kuwa MARIAM bado hatujamalizana nae?

Sasa HApa mnaanza kuleta ubaguzi wa makazi.................Africana pub tutagoma hii besidei ifanyikie uwanja wa Taifa..........
 
Sherehe inafanyika wapi Skulimeti: Siyo vibaya tukabadilisha Venue - Mimi na-propose San-Siro au Rombo Green View!!
 
Sasa HApa mnaanza kuleta ubaguzi wa makazi.................Africana pub tutagoma hii besidei ifanyikie uwanja wa Taifa..........

Usijali kajukuu, nimekuchukulia rumu namba 112 pale Kingstaa....malazi garantiid. Na usikuje uone.
 
Sherehe inafanyika wapi Skulimeti: Siyo vibaya tukabadilisha Venue - Mimi na-propose San-Siro au Rombo Green View!!

Rombo Green view si mahali muafaka kwa watoto, misiba isoyotarajiwa yaweza tokea bana.
 
Usijali kajukuu, nimekuchukulia rumu namba 112 pale Kingstaa....malazi garantiid. Na usikuje uone.

This ain't good for a birthday boy....
So fast eh....years winding up...and you becoming 'a more babu'.....
Happy birthday broda...!
Maziwa toka viwanda vya TBL, SBL na TDL yanafaa sana kwa watoto wa umri wako....
 
Rombo Green view si mahali muafaka kwa watoto, misiba isoyotarajiwa yaweza tokea bana.
Hommie Umri ukizidi Busara zinaongezeka.....
Sababu nyingine tena leo ya kuhudhuria counter ya juu!! lol
 
Happy bday Asprin,,i pray that u live to see ur dreams.
 
Happy birthday Babu, its your big day jienjoy!
Remenber you are not getting older,you are getting wiser
 
Happy bday babu,its ur day,its ur bday live and enjoy to the fullest!be blessd daima!:msela::msela::msela:😛eace:😛eace:😛eace::humble::humble::humble::grouphug::grouphug::grouphug:😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn::tea::tea::tea::mwaaah::mwaaah:
 
Hebu niambieni venue niko hapa naandaa ndafu ya hii kitu

tugeza wizi

walokole na answali sun mtanisamehe ni leo tu sintorudia tena
 
Back
Top Bottom