Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Umesema sahihi Mkuu

Wengi wa Wazee wa Umri huo unakuta anakula pension yake huku anatafuta Binti wa kumtoa upweke tu
Hapo lazima iwe Both team to score.
Mzee anapata anachokitaka na binti anapata matunzo.
 
Kama hutaki kutumia hela yako kwa mwanamke, kwanini uwe na huyo mwanamke. Hapo ameomba umsaidie. Ndiyo mwanamke uliyemchagua. Hutaki subiri ukioa, shida iko wapi?
Mnakuja kuwaanika watoto wa watu kila siku, hela, hela ukiombwa mamilioni si utatangaza kwenye TV kabisa. Acheni hizo
Malaaaaay
 
Wewe baki kwenye uanaume izo mambo za kujilinganisha na mwanamke jinsi anavyo para pesa zinaweza kufanya ukataka kua kama wao
 
Kumsaidia au kutapeliwa? Wewe unafikiri mara zote iyo hela wanayoomba hawana? Wewe unaelfu 60 mfukoni utampa iyo elfu 30 utabakiwa na elfu 30, mwenzako text iyo iyo ya kuomba elfu 30 kaituma kwa wanaume 10, akipewa na wanaume watano tu ana 150k mfukoni. Kaa kitaalamu mzee baba, mjini hapa.
Kanuni ni moja, usimuonee huruma mwanamke, matapeli yamejaa kila kona!
 
Kama hutaki kutumia hela yako kwa mwanamke, kwanini uwe na huyo mwanamke. Hapo ameomba umsaidie. Ndiyo mwanamke uliyemchagua. Hutaki subiri ukioa, shida iko wapi?
Mnakuja kuwaanika watoto wa watu kila siku, hela, hela ukiombwa mamilioni si utatangaza kwenye TV kabisa. Acheni hizo
Ni ajabu sana aisee
Kuna Ile hali ukimpenda unajisikia kumfanyia mazuri na kumbeba kwenye situation zake anazopitia mwanaume wa hivi hakumpemda huyo mwanamke Kuna mtu ambae anamuomba Zaid na huenda hamuombi na anampa na hii ya kuwaanika ndio mbaya zaidi
 
Back
Top Bottom