Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Umesema sahihi Mkuu

Wengi wa Wazee wa Umri huo unakuta anakula pension yake huku anatafuta Binti wa kumtoa upweke tu
Hapo lazima iwe Both team to score.
Mzee anapata anachokitaka na binti anapata matunzo.
 
Malaaaaay
 
Wewe baki kwenye uanaume izo mambo za kujilinganisha na mwanamke jinsi anavyo para pesa zinaweza kufanya ukataka kua kama wao
 
Kanuni ni moja, usimuonee huruma mwanamke, matapeli yamejaa kila kona!
 
Ni ajabu sana aisee
Kuna Ile hali ukimpenda unajisikia kumfanyia mazuri na kumbeba kwenye situation zake anazopitia mwanaume wa hivi hakumpemda huyo mwanamke Kuna mtu ambae anamuomba Zaid na huenda hamuombi na anampa na hii ya kuwaanika ndio mbaya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…