Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Sasa ulichokosea ni Kusema umemmiss ni kama umeomba Show so ulikua na haki ya kuuziwa.

Next time kila mtu abaki na vyake mpala pale mmoja atakapojisikia kutoa for free.
 
Huyu hapa Mzambia hatakagi hela..!!!
Yeye ni anachukua boda unalipa, anakuja analala, kesho yake anachukua boda huyoo dukani kwake.
Anaenda kulipia hukohuko..!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
View attachment 3101715

Huyu hapa Mzambia hatakagi hela..!!!
Yeye ni anachukua boda unalipa, anakuja analala, kesho yake anachukua boda huyoo dukani kwake.
Anaenda kulipia hukohuko..!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwahiyo wewe unatakaga tu mtu aje umtmbe bureee ukiombwa hela hutaki, we kazi kuomba omba tu kyuma za watu 🙄🙄🙄🙄
 
Mbona wazambia Tunduma na kidogoo wamalawi Kyela HAWANAHIZI TABIA??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…