Dear CNN, Nairobi is not in Nigeria and Uganda is not Tanzania

Wamekurupuka kutuchanganya walikuwa wako haraka kuripot jambo bila kuweka umakin
 
Inamaanisha habari zetu hazijulikani sana kwao...
 
Hii ni blunder ya mwaka!!!!!

Tiba
 
Sishangai waandishi wa habari ni vilaza wanaotumia media kueneza propaganda.

Jana nilimsikia mtangazaji wa channel ten akitamka BRV badala ya BVR
 
Sishangai waandishi wa habari ni vilaza wanaotumia media kueneza propaganda.

Jana nilimsikia mtangazaji wa channel ten akitamka BRV badala ya BVR

Ulimi haunamfupa unajua ukiwa fasta BVR unaweza jichanganya na kwenda kwenya nshu za ule ugonjwa
 
Halafu ndio tunawaowaamini kwenye tasnia ya utangazaji khaaaaa kwa mwendo huu washatulisha kasa sana hao.
 
Kumbe ukanjanja kwenye hii tasnia mpaka huko upo?
 
..hata The East African Magazine wamekuja na headline " Why EAST AFRICA is a target of emboldened Al Shabaab" wakati huu ambapo shambulizi limetokea Kenya!!

..hawa ndugu zetu wana michezo michafu sana. kwa kweli kuishi na kushirikiana nao kunahitaji uvumilivu wa hali ya juu kabisa.


cc Nguruvi3, Ab-Titchaz, Geza Ulole, mchambawima1, msemakweli, Kobello
 
Umeona eh? Wanataka kutuingiza kwenye mix yao chafu. Ingekuwa shambulio Tz usingesikia jina la EA linatajwa humo.....na wanajua kuna elements za udini tz kwa hiyo wanaexploi hiyo fact kutuchafulia jina!
 
Hawajakosea, hao waandishi wao wamewatuma kuleta terrorists maeneo hayo, sasa wamejisahau wanaropoka ovyo sababu ya damu za watu.

Unaquote post ndefu hivo afu unatoa less!
Unatujazia Page bure
 
Njia ya muongo ni fupi sana. Wamezoea kutuletea habari za wapi sijui na kutuaminisha kuna balaa huko. Sasa wameumbuka. Janga la kenya, wanawaza Nigeria, mawazo yao yote yapo kwenye boko haram na mafuta.
 
Sishangai waandishi wa habari ni vilaza wanaotumia media kueneza propaganda.

Jana nilimsikia mtangazaji wa channel ten akitamka BRV badala ya BVR

Hukohuko channel ten nilimsikia mtangazaji akisema mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania ni Major General badala ya General akidhani Major General ni Mkubwa kuliko General.
 
Inamaanisha habari zetu hazijulikani sana kwao...

Siyo kweli naomba tusishabikie ujinga. Usahihi wa habari ni suala muhimu sana katika Tasinia ya Habari hivyo kujua eneo au kutolijua si kibali cha kutoa taarifa ya makosa. Infact hakuna State yeyote ya Marekani watu wasipojifuza Nairobi -Kenya etc
 
kama kawaida yako! naona unataka kuanzisha ligi nyingine wakati wahusika ambao ni ndugu zetu wakikenya wanaombeleza... kuna kosa gani kuandika EA kwani haukumbuki waliyoyafanya Uganda, tindi kali kule zenji au onyo walilolitoa kwa warundi? hawa jamaa ni majanga kama vile kina jMali, mi naoana huu ni wakati muafaka wa kuomba msaada kwa Kagame, kufikia usawa huu, ni yeye pekee ndiye ameshatuonyesha uwezo wa kudhibiti wauwaji wa namna hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…