msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni blunder ya mwaka!!!!!
Tiba
Sishangai waandishi wa habari ni vilaza wanaotumia media kueneza propaganda.
Jana nilimsikia mtangazaji wa channel ten akitamka BRV badala ya BVR
Umeona eh? Wanataka kutuingiza kwenye mix yao chafu. Ingekuwa shambulio Tz usingesikia jina la EA linatajwa humo.....na wanajua kuna elements za udini tz kwa hiyo wanaexploi hiyo fact kutuchafulia jina!..hata The East African Magazine wamekuja na headline " Why EAST AFRICA is a target of emboldened Al Shabaab" wakati huu ambapo shambulizi limetokea Kenya!!..hawa ndugu zetu wana michezo michafu sana. kwa kweli kuishi na kushirikiana nao kunahitaji uvumilivu wa hali ya juu kabisa.cc Nguruvi3, Ab-Titchaz, Geza Ulole, mchambawima1, msemakweli, Kobello
Hawajakosea, hao waandishi wao wamewatuma kuleta terrorists maeneo hayo, sasa wamejisahau wanaropoka ovyo sababu ya damu za watu.
huyu jamaa ni conspiracy theorist....hahahaaaUnaquote post ndefu hivo afu unatoa less!
Unatujazia Page bure
Sishangai waandishi wa habari ni vilaza wanaotumia media kueneza propaganda.
Jana nilimsikia mtangazaji wa channel ten akitamka BRV badala ya BVR
Inamaanisha habari zetu hazijulikani sana kwao...
kama kawaida yako! naona unataka kuanzisha ligi nyingine wakati wahusika ambao ni ndugu zetu wakikenya wanaombeleza... kuna kosa gani kuandika EA kwani haukumbuki waliyoyafanya Uganda, tindi kali kule zenji au onyo walilolitoa kwa warundi? hawa jamaa ni majanga kama vile kina jMali, mi naoana huu ni wakati muafaka wa kuomba msaada kwa Kagame, kufikia usawa huu, ni yeye pekee ndiye ameshatuonyesha uwezo wa kudhibiti wauwaji wa namna hii.....hata The East African Magazine wamekuja na headline " Why EAST AFRICA is a target of emboldened Al Shabaab" wakati huu ambapo shambulizi limetokea Kenya!!
..hawa ndugu zetu wana michezo michafu sana. kwa kweli kuishi na kushirikiana nao kunahitaji uvumilivu wa hali ya juu kabisa
cc Nguruvi3, Ab-Titchaz, Geza Ulole, mchambawima1, msemakweli, Kobello