Hahahaha π crushMpaka yatikiswe sasa. Mimi nina Imani hutonitikisa π
Mimi nawe damdamToo late umechukuliwa na nani kwani? π
Mwaya we crush na wote ila Mdakuzi niachie, ni crush wangu mwenyewe. TehDear crush ninakusabahi nikiwa nyuma ya keyboard,uhali gani?π₯°π₯°
Nikiuona mwandiko wako basi roho yasuudhika barabara(jamani mniombee)ππhallelujah.
Usivyopenda malumbanoπ₯°π₯° ndio kabisaaaaaππ.
Wana jf mkianza kunifokea tafadhali mpunguze sauti msije mkanikatisha ndoto yangu bureeπ₯³π₯³.
Nambie dear crush π₯°Hahahaha π crush
Wewe hunaga baya heka heka za mahusiano sio fungu lako Nifahπ mtunze sana huyo mwamba sawa mamaβ¦ila tukisikia unampa vimateso vya hapa na pale ili akili imkae sawa basi hatutakuwa na budi kumtuma tai amnyakueππMwaya we crush na wote ila Mdakuzi niachie, ni crush wangu mwenyewe. Teh
Dooh! Watu mpo mbele ya wakati aiseee....hv mnawatambuaje?Muhimu sana kulijua hili maana Sasa khumalo ni mtego wa kunasa wanazuoni wanaotumia ID fake mitandaoni hata ephen ni offsir kipenyo mbwa yule
I have taken your advice, thanks dear.Wewe hunaga baya heka heka za mahusiano sio fungu lako Nifahπ mtunze sana huyo mwamba sawa mamaβ¦ila tukisikia unampa vimateso vya hapa na pale ili akili imkae sawa basi hatutakuwa na budi kumtuma tai amnyakueππ
Huwa wanajisahau wanatoa code wenyewe si unajua askari wengi hupenda sifa na wanataka kujulikana mitandaoni wamezagaa sanaDooh! Watu mpo mbele ya wakati aiseee....hv mnawatambuaje?
we have to crush our crush inorder to crush ourselves πNambie dear crush π₯°
Sawa limepita ilo, kuna jingine labda? πwe have to crush our crush inorder to crush ourselves π
Hakuna ni.ilo tuππSawa limepita ilo, kuna jingine labda? π
πHakuna ni.ilo tuππ
Mbona kama krashi mwenyewe ndo huyu ππππ
ephen_ huyu huyu ?Muhimu sana kulijua hili maana Sasa khumalo ni mtego wa kunasa wanazuoni wanaotumia ID fake mitandaoni hata ephen ni offsir kipenyo mbwa yule