Dear ex kwanini mnapenda kuendelea kuhudumiwa kipesa licha ya kuachana

Dear ex kwanini mnapenda kuendelea kuhudumiwa kipesa licha ya kuachana

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,321
Reaction score
7,501
Happy new years guys 2025!...

Mwak jana mwishon niliachan na mrembo wangu ambae kwaukweli tulizoean sana na kupendana.

Kumuacha ilibd kutoka na sababu zangu ambazo zili base kiakili (logic thinking).(Niliamua kurudiana na mawatoto wangu) Nikafany maamuZ ya kihisia bado nitaendelea kuw nawe lkn nikaon future ndefu kwake na mim itakuw na changamot .

CHANGAMOTO
Tumekuwa tukiendelea kimawasiliano na hata juz nimmepeleka lunch tukala ila ninachona sasa anatak tension yangu na anatak nimpe huduma (kumjali kwa kumpa matumiz madogo madogo ) lkn mzgo Nikama hatak kutoa hv nikipma anatak uwepo uwepo ,

Nilipoachan nae nikawa nafk kwenye mji x anaofanyia kaz na kuish bahat mbaya wananijua wakawa wanampa taarfa jamaa ako yupo mjin , basi atapg cmu na kulaumu kwann sijamchek tuonane (kwakusalimian physical)

Hv nyie wanawake mmnaona miili yenu ina value kubwa lakn pesa zetu tunazo wapa , tena mnaomba mnazan hatuna ndugu na jamaa wakuwapa ?

Mwanamke usiombe ela hasa kwa ex wako kama siku Nae akiw na shida ya kimapenz hutowez mtimiza , ukiona mwanaume anakupa ela jua ana kujali na atakuw na hisia na wew .
 
Wewe ndo unayetaka akuombe hizo hela keshakua X wako wanini kutoana had out na mawasiliano ya ukaribu

Toa hizo hela mwanakulitaka
Mkuu mi ndie nilimuacha na yeye ndie anahitaji tension 🧶 zaid, mi hisia zangu nmewez zizuia ila akil changu lazm aliwe tuu
 
Wewe ndo unayetaka akuombe hizo hela keshakua X wako wanini kutoana had out na mawasiliano ya ukaribu

Toa hizo hela mwanakulitaka
Nilishafk mkoa x mara 2# akawa ananion juu juu akawa anapg cmu kudai unakuja bila ata yakukuonana hvyoo
 
Happy new years guys 2025!...

Mwak jana mwishon niliachan na mrembo wangu ambae kwaukweli tulizoean sana na kupendana.

Kumuacha ilibd kutoka na sababu zangu ambazo zili base kiakili (logic thinking).(Niliamua kurudiana na mawatoto wangu) Nikafany maamuZ ya kihisia bado nitaendelea kuw nawe lkn nikaon future ndefu kwake na mim itakuw na changamot .

CHANGAMOTO
Tumekuwa tukiendelea kimawasiliano na hata juz nimmepeleka lunch tukala ila ninachona sasa anatak tension yangu na anatak nimpe huduma (kumjali kwa kumpa matumiz madogo madogo ) lkn mzgo atak kutoa?

Hv nyie wanawake mmnaona miili yenu ina value kubwa lakn pesa zetu tunazo wapa , tena mnaomba mnazan hatuna ndugu na jamaa wakuwapa ?

Mwanamke usiombe ela hasa kwa ex wako kama siku Nae akiw na shida ya kimapenz hutowez mtimiza , ukiona mwanaume anakupa ela jua ana kujali na atakuw na hisia na wew
Mpe pesa tu hayo mengine yanakuja yenyewe. Kabla hujampa unalalamika Jamani haifai
 
Kumbe unataka mzigo? Na unaomba kabisa? Na unanyimwa? Na bado unaendelea kuwasiliana naye na kumpa hela?

Wale wazee wa kubesabu makosa hawajaupitia huu uzi?
 
Kumbe unataka mzigo? Na unaomba kabisa? Na unanyimwa? Na bado unaendelea kuwasiliana naye na kumpa hela?

Wale wazee wa kubesabu makosa hawajaupitia huu uzi?
Soma vle mkuu, kawaid naish nae bila kuhitaji huo mzgo ila sasa nmeona anakuj na vizng vkubwa ambavyo hvyo uwez toq kirahis bila kujua return yake
 
Back
Top Bottom