Dear ex kwanini mnapenda kuendelea kuhudumiwa kipesa licha ya kuachana

Dear ex kwanini mnapenda kuendelea kuhudumiwa kipesa licha ya kuachana

Happy new years guys 2025!...

Mwak jana mwishon niliachan na mrembo wangu ambae kwaukweli tulizoean sana na kupendana.

Kumuacha ilibd kutoka na sababu zangu ambazo zili base kiakili (logic thinking).(Niliamua kurudiana na mawatoto wangu) Nikafany maamuZ ya kihisia bado nitaendelea kuw nawe lkn nikaon future ndefu kwake na mim itakuw na changamot .

CHANGAMOTO
Tumekuwa tukiendelea kimawasiliano na hata juz nimmepeleka lunch tukala ila ninachona sasa anatak tension yangu na anatak nimpe huduma (kumjali kwa kumpa matumiz madogo madogo ) lkn mzgo Nikama hatak kutoa hv nikipma anatak uwepo uwepo ,

Nilipoachan nae nikawa nafk kwenye mji x anaofanyia kaz na kuish bahat mbaya wananijua wakawa wanampa taarfa jamaa ako yupo mjin , basi atapg cmu na kulaumu kwann sijamchek tuonane (kwakusalimian physical)

Hv nyie wanawake mmnaona miili yenu ina value kubwa lakn pesa zetu tunazo wapa , tena mnaomba mnazan hatuna ndugu na jamaa wakuwapa ?

Mwanamke usiombe ela hasa kwa ex wako kama siku Nae akiw na shida ya kimapenz hutowez mtimiza , ukiona mwanaume anakupa ela jua ana kujali na atakuw na hisia na wew .
Hakuna cha ajabu Ex kuhudumiwa.

Mantiki yake ni ya kibinadamu na utu zaidi na si mapenzi.

Ni kama mstaafu anavyochukua pensheni kwa Serikali bila yeye kuchangia chochote kwa wakati huo.

Ni michango yake ya nyuma ndiyo inayoheshimiwa, kutukuzwa na kumpa haki ya kulipwa.

Ex wako kama mliachana kwa heshima, anastahili huduma zako mpaka kufa kwa sababu tayari ulishanufaika na penzi lake.
 
Kwahiyo anataka mafao? Na mafao ya mwanaume ni yapi wakati wote walishiriki “relationship “?

Nilichoona kwa mleta mada ni a victim mindset, anaanzisha mambo halafu anajifanya haelewi kilichotokea.
 
Kwa wanawake wa Africa is too dangerous, always mahusiano yanatugharmu sisi wanaume ingekuw kawaida na cc kupata hyo pension kwakuw wote niwanufaika ,
 
Kwahiyo anataka mafao? Na mafao ya mwanaume ni yapi wakati wote walishiriki “relationship “?

Nilichoona kwa mleta mada ni a victim mindset, anaanzisha mambo halafu anajifanya haelewi kilichotokea.
Umeeleza vzr ,___
 
Mwalimu wa Kiingereza akiwa anafundisha alikuwa kazi ni kula ubuyu, ona sasa ex wake anataka “tension “ yake.
Vijana wanapenda sana Kuchanganya Kiingereza katika Kiswahili bila kufikiria madhara yake...Mpaka hapo unaweza sema hata hayo malalamiko yaje hayana maana ikiwa jambo dogo kama la "tension" kalikoroga.😁
 
Back
Top Bottom