Dear ex kwanini mnapenda kuendelea kuhudumiwa kipesa licha ya kuachana

Happy new years guys 2025!...

Mwak jana mwishon niliachan na mrembo wangu ambae kwaukweli tulizoean sana na kupendana.

Kumuacha ilibd kutoka na sababu zangu ambazo zili base kiakili (logic thinking).(Niliamua kurudiana na mawatoto wangu) Nikafany maamuZ ya kihisia bado nitaendelea kuw nawe lkn nikaon future ndefu kwake na mim itakuw na changamot .

CHANGAMOTO
Tumekuwa tukiendelea kimawasiliano na hata juz nimmepeleka lunch tukala ila ninachona sasa anatak tension yangu na anatak nimpe huduma (kumjali kwa kumpa matumiz madogo madogo ) lkn mzgo atak kutoa?

Hv nyie wanawake mmnaona miili yenu ina value kubwa lakn pesa zetu tunazo wapa , tena mnaomba mnazan hatuna ndugu na jamaa wakuwapa ?

Mwanamke usiombe ela hasa kwa ex wako kama siku Nae akiw na shida ya kimapenz hutowez mtimiza , ukiona mwanaume anakupa ela jua ana kujali na atakuw na hisia na wew .
Hii nayo point aiseee.
Watuoe mbususu tuwape hela. Tena ex wanakuwa watamu jamani
 
Soma vle mkuu, kawaid naish nae bila kuhitaji huo mzgo ila sasa nmeona anakuj na vizng vkubwa ambavyo hvyo uwez toq kirahis bila kujua
Nilisoma kwa kweli.

lkn mzgo atak kutoa?

Nae akiw na shida ya kimapenz hutowez mtimiza
Anyway, pesa ni yako - tumia utakavyo.
Just imagine hela anaomba kwako apendeze, ale ashibe then akampe mwanaume mwingine yote. Na akamlilile na kumng'ang'ania wakati anakojoa. Ongezea mwamba anamwagia ndani ila hela ya P2 unaombwa wewe.

Ukiendelea kutoa hela hapo hongera una moyo wa Mama Teresa.

Ukitaka kuuona ushetani wa mwanamke muache then urudiane naye akishakuwa amekazwa na mwanaume mwingine.
 
Happy new years guys 2025!...

Mwak jana mwishon niliachan na mrembo wangu ambae kwaukweli tulizoean sana na kupendana.

Kumuacha ilibd kutoka na sababu zangu ambazo zili base kiakili (logic thinking).(Niliamua kurudiana na mawatoto wangu) Nikafany maamuZ ya kihisia bado nitaendelea kuw nawe lkn nikaon future ndefu kwake na mim itakuw na changamot .

CHANGAMOTO
Tumekuwa tukiendelea kimawasiliano na hata juz nimmepeleka lunch tukala ila ninachona sasa anatak tension yangu na anatak nimpe huduma (kumjali kwa kumpa matumiz madogo madogo ) lkn mzgo atak kutoa?

Hv nyie wanawake mmnaona miili yenu ina value kubwa lakn pesa zetu tunazo wapa , tena mnaomba mnazan hatuna ndugu na jamaa wakuwapa ?

Mwanamke usiombe ela hasa kwa ex wako kama siku Nae akiw na shida ya kimapenz hutowez mtimiza , ukiona mwanaume anakupa ela jua ana kujali na atakuw na hisia na wew .
Akili za nyumbu hovyo kabisa unamtoaje out x wako? Unataka nini? Halafu asikiuombe hela?
 
+
Mara zote nikifk huko mji anao ishi

Nilisoma kwa kweli.

Anyway, pesa ni yako - tumia utakavyo.
Just imagine hela anaomba kwako apendeze, ale ashibe then akampe mwanaume mwingine yote. Na akamlilile na kumng'ang'ania wakati anakojoa. Ongezea mwamba anamwagia ndani ila hela ya P2 unaombwa wewe.

Ukiendelea kutoa hela hapo hongera una moyo wa Mama Teresa.

Ukitaka kuuona ushetani wa mwanamke muache then urudiane naye akishakuwa amekazwa na mwanaume mwingine.
Unalosema ni sahihi na unakuta jamaa ake hatampg kznga , kutoa ela nene bila mzgo ni ujinga haswa
 
Akili za nyumbu hovyo kabisa unamtoaje out x wako? Unataka nini? Halafu asikiuombe hela?
Mkuu hiko n ktu cha kawaida tuu (yeye hupend hvyo nikiw wilaya kwao ) Tshs 10,000 ya kula pamoja ina hasara gana shida ni hyo kuomba ela kwa matumiz mengine.
 
+
Mara zote nikifk huko mji anao ishi

Unalosema ni sahihi na unakuta jamaa ake hatampg kznga , kutoa ela nene bila mzgo ni ujinga haswa
Kuelewa unaelewa shida naona ni implementation
 
Aksnt mkuu. Tatzo mazoea nami kwakuw nilizngua kuna ka hurum fuln hv
Usimuonee huruma mwanamke, maana yeye kiasili hana huruma na wewe.

Akilia yeye dunia nzima itakuja kumbembeleza, kumsaidia na kumshika mkono huku wakikunyooshea vidole wewe kuwa mtu mbaya

Ukilia wewe utalia mwenyewe mkuu. Wanaume hatuna support system.
 
Nmekuelew mkali , ,Huo ujumbe wako haupngik mkuu

Hv viumbe vimeshakupg matukio sana
 
Usimuonee huruma mwanamke, maana yeye kiasili hana huruma na wewe.

Akilia yeye dunia nzima itakuja kumbembeleza, kumsaidia na kumshika mkono huku wakikunyooshea vidole wewe kuwa mtu mbaya

Ukilia wewe utalia mwenyewe mkuu. Wanaume hatuna support system.
 
Kwani umemuomba sasa Jamani?
Yeye ndie anaomba sasa , n kama anataka maisha ya zaman ya kuhudumiw kam zamn. Ambako kwangu ni shachangamoto akitak hvyo akubali kutoa na utamu sio kusumbuana.
 
Mpe kwanza hayo mengine ni vitu vidogo sana 😅ila wanaume mmekuaje jamani 😅😅
 
Tatzo linaanza hapo unaponiita DEAR x,,naachaje kukuomba hela
 
Back
Top Bottom