Dear ex kwanini mnapenda kuendelea kuhudumiwa kipesa licha ya kuachana

Hakuna cha ajabu Ex kuhudumiwa.

Mantiki yake ni ya kibinadamu na utu zaidi na si mapenzi.

Ni kama mstaafu anavyochukua pensheni kwa Serikali bila yeye kuchangia chochote kwa wakati huo.

Ni michango yake ya nyuma ndiyo inayoheshimiwa, kutukuzwa na kumpa haki ya kulipwa.

Ex wako kama mliachana kwa heshima, anastahili huduma zako mpaka kufa kwa sababu tayari ulishanufaika na penzi lake.
 
Kwahiyo anataka mafao? Na mafao ya mwanaume ni yapi wakati wote walishiriki “relationship “?

Nilichoona kwa mleta mada ni a victim mindset, anaanzisha mambo halafu anajifanya haelewi kilichotokea.
 
Kwa wanawake wa Africa is too dangerous, always mahusiano yanatugharmu sisi wanaume ingekuw kawaida na cc kupata hyo pension kwakuw wote niwanufaika ,
 
Kwahiyo anataka mafao? Na mafao ya mwanaume ni yapi wakati wote walishiriki “relationship “?

Nilichoona kwa mleta mada ni a victim mindset, anaanzisha mambo halafu anajifanya haelewi kilichotokea.
Umeeleza vzr ,___
 
Mwalimu wa Kiingereza akiwa anafundisha alikuwa kazi ni kula ubuyu, ona sasa ex wake anataka “tension “ yake.
Vijana wanapenda sana Kuchanganya Kiingereza katika Kiswahili bila kufikiria madhara yake...Mpaka hapo unaweza sema hata hayo malalamiko yaje hayana maana ikiwa jambo dogo kama la "tension" kalikoroga.😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…